Iwapo maudhui yako yaliathiriwa na utekelezaji ambao unadhani kuwa ulifanywa kimakosa au hukubaliani nao, una njia kadhaa unazoweza kuchukua.
Mchakato wa kuchukua hatua dhidi ya utekelezaji unategemea hatua iliyochukuliwa kuhusiana na maudhui. Kwa mfano, mchakato wa kuchukua hatua dhidi ya kitendo kinachohusiana na Mwongozo wa Jumuiya ni tofauti na mchakato wa kuchukua hatua dhidi ya mipaka ya umri kwenye video yako.
Tumia orodha iliyo hapa chini kupata maelezo zaidi kuhusu utekelezaji ulioathiri maudhui yako na jinsi unavyoweza kuchukua hatua.
Vitendo vinavyohusiana na Mwongozo wa Jumuiya
Pata maelezo kuhusu Mwongozo wa Jumuiya wa YouTube
Kukata Rufaa dhidi ya Vitendo vinavyohusiana na Mwongozo wa Jumuiya
Pata maelezo kuhusu mipaka ya umri
Kukata rufaa dhidi ya mipaka ya umri kwenye video yako
Utekelezaji wa kisheria
Pata maelezo kuhusu ufungaji wa chaneli au akaunti
Kukata rufaa dhidi ya ufungaji wa chaneli au akaunti
Utekelezaji wa hakimiliki
Maonyo ya hakimiliki na maombi ya kuondoa video
Pata maelezo kuhusu maonyo ya hakimiliki
Kutuma arifa ya kukanusha hakimiliki
Kuchukua hatua dhidi ya arifa ya kukanusha
Pata maelezo kuhusu maombi ya kuondoa video kwa kukiuka hakimiliki
Kutuma ombi la kuondoa video kwa kukiuka hakimiliki
Kufuta ombi la kuondoa video kwa kukiuka hakimiliki
Madai ya Content ID
Pata maelezo zaidi kuhusu madai ya Content ID
Kukata rufaa dhidi ya dai la Content ID
Vitendo vinavyohusiana na maudhui yanayolenga watoto
Pata maelezo kuhusu kuweka mipangilio ya hadhira ya chaneli au video zako
Kubaini iwapo maudhui yako "yanalenga watoto"
Kukata rufaa dhidi ya mipangilio ya hadhira ya “inalenga watoto”
Vitendo vinavyohusiana na Mpango wa Washirika wa YouTube (YPP)
Pata maelezo kuhusu sera za uchumaji wa mapato kwenye YouTube
Kuchukua hatua dhidi ya kukataliwa kwa ombi la kujiunga kwenye Mpango wa Washirika wa YouTube (YPP)
Kuomba ukaguzi unaofanywa na binadamu wa video zilizobainishwa kuwa "Hazifai watangazaji wengi"