Anza kutiririsha mubashara

Kutiririsha mubashara hukuruhusu kuwasiliana na hadhira yako katika muda halisi ukitumia mipasho ya video, gumzo na zaidi.

Intro To Live Streaming on YouTube

1. Washa kipengele cha kutiririsha mubashara

Ili utiririshe mubashara, unahitajika usiwe na vikwazo vya kutiririsha mubashara katika siku 90 zilizopita na unahitaji kuthibitisha kituo chako.

  1. Go to YouTube.
  2. From the top right, click Create  kisha Go live.
  3. If you haven't already, follow the steps to verify your channel.
  4. Starting your first live stream may take up to 24 hours. Once enabled, you can live stream instantly.

2. Chagua njia ya kutiririsha

Kuna aina tatu za kutiririsha: katika kifaa cha mkononi, kamera ya wavuti na programu ya kusimba. Chagua njia inayofaa zaidi kulingana na maudhui unayotiririsha.

Kifaa cha mkononi

Inafaa zaidi kwa ajili ya blogu ya video na kupata taarifa haraka kwenye simu au kompyuta kibao yako.

Ili uanzishe mtiririko mubashara kwenye kifaa cha mkononi, unahitaji kutimiza masharti.

Pata maelezo kuhusu jinsi ya kutiririsha kwenye kifaa cha mkononi.

Kamera ya wavuti

Tiririsha mubashara haraka kwenye kompyuta yako ukitumia kamera ya wavuti.

Utahitaji kuwa na kompyuta iliyo na kamera ya wavuti.

Pata maelezo kuhusu jinsi ya kutiririsha kwa kutumia kamera ya wavuti.

Programu ya kusimba

Programu za kusimba hukuwezesha kutiririsha uchezaji, matangazo yaliyowekelewa juu na hutumia maunzi kama vile amplifaya, maikrofoni na kamera. Aina hii ya mtiririko kwa kawaida hutumika katika michezo ya video, matukio ya spoti, matamasha na mikutano.

Pata maelezo kuhusu jinsi ya kutiririsha kwa kutumia programu ya kusimba.

Mitiririko mubashara iliyo wima

Mtiririko wako mubashara ukiwa katika mkao wima (mrefu zaidi kuliko upana), watazamaji wanaotumia vifaa vya mkononi sasa watautazama katika hali ya skrini nzima. Hali hii ya utumiaji inajumuisha mipasho ya mitiririko mubashara inayoweza kusogezwa ambapo watazamaji wana uwezo wa kufikia vipengele vya ufadhili kutoka kwa mashabiki kama vile Super Chat, Super Stickers na uanachama katika chaneli. Watazamaji (si tu wanaofuatilia chaneli yako) wanaweza pia kupata mitiririko hii mubashara wanapovinjari Video Fupi za YouTube.

Kipengele Mitiririko mubashara katika mkao mlalo

Mipasho ya moja kwa moja katika mkao wima

Inaweza kutambulika katika mipasho ya Video Fupi Hapana Ndiyo
Inaweza kusogezwa ili kupata mitiririko mingine mubashara Hapana Ndiyo
Viungo vinavyobofyeka kwenye maelezo ya gumzo na kituo Ndiyo Hapana
Tangazo la moja kwa moja la katikati na kabla ya video kucheza Ndiyo Hapana
Kutiririsha kwa kasi ya biti ya 4K (tangazo) Ndiyo Hapana (kwenye programu ya YouTube)
Maonyesho ya Kwanza Ndiyo Hapana
Kuelekezwa Moja kwa Moja Ndiyo Hapana
Uanachama Ndiyo Ndiyo
Uanachama unaotolewa kama zawadi Ndiyo Hapana

 

Maudhui unayoweza kutiririsha

Maudhui yote ya mitiririko mubashara yanapaswa kutiiMwongozo wetu wa Jumuiya na Sheria na Masharti. Ukipendekeza kuwa utatiririsha mubashara maudhui yanayokiuka Mwongozo wetu wa Jumuiya, huenda tukawekea mtiririko wako mubashara mipaka ya umri au tukauondoa. YouTube pia inahifadhi haki ya kuwekea kizuizi uwezo wa mtayarishi kutiririsha mubashara kwa hiari yake.

Ukipokea tahadhari kwenye mtiririko wako mubashara kwa kukiuka Mwongozo wetu wa Jumuiya, unaweza kushiriki katika mafunzo ya sera ili kuruhusu muda wa tahadhari uishe baada ya siku 90. Hata hivyo, ikiwa utakiuka sera hiyo tena ndani ya kipindi hicho cha siku 90, muda wa tahadhari hautaisha na kituo chako kitapewa onyo. Ikiwa utakiuka sera tofauti baada ya kukamilisha mafunzo, utapewa tahadhari nyingine. Huenda tukazuia watu wanaorudia kufanya makosa wasishiriki katika mafunzo ya sera siku zijazo.

Iwapo mtiririko wako mubashara umewekewa kizuizi, unaweza ukapewa onyo kwenye akaunti yako. Onyo litakuzuia usitiririshe mubashara kwa siku 14. Ikiwa akaunti yako imewekewa kizuizi isitiririshe mubashara, huruhusiwi kutumia kituo kingine kutiririsha mubashara kwenye YouTube. Sera hii inatumika tu mradi kizuizi kinaendelea kuwepo kwenye akaunti yako. Ukiukaji wa kizuizi hiki utachukuliwa kuwa kukwepa kwa mujibu wa Sheria na Masharti yetu na unaweza kusababisha kufungwa kwa akaunti yako.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16679633787507039206
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false