Programu ya YouTube inapatikana kwenye televisheni zinazoweza kuunganisha kwenye intaneti, vifaa vya kutiririsha na vifaa vingi vya michezo ya video. Ingia katika akaunti kwenye programu, angalia vituo unavyofuatilia, tafuta maudhui na utumie kifaa chako cha mkononi kama kidhibiti cha mbali. Unaweza pia kutazama YouTube kwenye televisheni yako inayoweza kuunganisha kwenye intaneti kwa kuunganisha vifaa vyako.
Angalia iwapo programu ya YouTube inapatikana katika eneo unakoishi.
Maeneo inakopatikana
Ajentina |
Lasembagi |
Australia |
Malesia |
Austria |
Malta |
Azabajani |
Meksiko |
Bahareni |
Montenegro |
Bangladeshi |
Moroko |
Belarusi |
Nepali |
Ubelgiji |
Uholanzi |
Bolivia |
Nyuzilandi |
Bosnia na Hezegovina |
Nikaragua |
Brazili |
Naijeria |
Bulgaria |
Masedonia Kaskazini |
Kanada |
Norwe |
Chile |
Omani |
Kolombia |
Pakistani |
Kostarika |
Panama |
Korasia |
Papua |
Kuprosi |
Paragwai |
Zechia |
Peru |
Denmaki |
Ufilipino |
Jamhuri ya Dominika |
Polandi |
Ekwado |
Ureno |
Misri |
Pwetoriko |
Elsavado |
Katari |
Estonia |
Romania |
Ufini |
Urusi |
Ufaransa |
Saudia |
Jojia |
Senegali |
Ujerumani |
Sabia |
Ghana |
Singapoo |
Ugiriki |
Slovakia |
Gwatemala |
Slovenia |
Hondurasi |
Afrika Kusini |
Hong Kong |
Korea Kusini |
Hangaria |
Uhispania |
Aisilandi |
Srilanka |
India |
Uswidi |
Indonesia |
Uswisi |
Iraki |
Taiwani |
Ayalandi |
Tanzania |
Israeli |
Tailandi |
Italia |
Tunisia |
Jamaika |
Uturuki |
Japani |
Uganda |
Yordani |
Ukraini |
Kazakistani |
Uingereza |
Kenya |
Marekani |
Kuwaiti |
Urugwai |
Lativia |
Venezuela |
Lebanoni |
Vietnamu |
Libya |
Yemeni |
Lishenteni |
Zimbabwe |
Litwania |
Jinsi ya Kuingia Kwenye YouTube katika Televisheni Yako
Fahamu jinsi ya kutumia programu ya YouTube kwenye televisheni
Kuingia au kuondoka katika akaunti ya programu ya YouTube
Unaweza kuingia katika akaunti ya YouTube kwenye televisheni yako inayoweza kuunganisha kwenye intaneti, kifaa cha kutiririsha au kifaa cha michezo ya video. Unaweza pia kuondoka katika akaunti ya programu au kuondoa akaunti kwenye programu.
Kubadilisha kati ya akaunti moja na nyingine
Katika programu ya YouTube kwenye televisheni yako, unaweza kuingia katika akaunti nyingi na kubadili akaunti hizi kwa urahisi.
Wanafamilia wako wanaweza kuweka akaunti zao na wageni wanaweza kuingia katika Akaunti ya mgeni. Akaunti za wageni zinakuwezesha kutumia YouTube kwenye televisheni yako bila kuingia katika akaunti na maudhui yoyote unayotazama bila kuingia katika akaunti hayataathiri maudhui yanayopendekezwa kwenye akaunti yako.
Kutafuta video za kutazama
- Unaweza kutumia huduma ya Tafuta kwenye menyu ya kushoto.
Kwenye kichupo cha ukurasa wa Mwanzo
- Pitia gridi ya video zinazopendekezwa kwenye kichupo cha Ukurasa wa Mwanzo .
- Chagua menyu ya kushoto ili ufungue sehemu ya ziada ya viungo muhimu. Unaweza kupitia vichupo tofauti, kama vile Zinazopendekezwa, Zinazovuma, au Muziki.
Kwenye kichupo cha Vituo unavyofuatilia
- Pitia gridi ya video zinazopendekezwa kwenye vituo unavyofuatilia.
- Pitia vituo unavyofuatilia ili kuona video au orodha mpya zaidi za kucheza kwenye kituo.
Kwenye Ukurasa wa kutazama
- Nenda chini kisha uchague Tafuta .
Hifadhi video kwenye orodha za kucheza
- Kwenye ukurasa wa kutazama wa video, chagua Hifadhi video .
- Chagua orodha ya kucheza ambako ungependa kuhifadhi video.
Kufikia Maktaba Yako
Kusasisha Mipangilio Yako
Kutumia kifaa kingine kama kidhibiti chako cha mbali
Kudhibiti foleni ya televisheni yako
Weka, angalia na uondoe video kwenye foleni ya televisheni yako unapounganisha simu, kishikwambi au kompyuta kwenye televisheni yako kupitia mchakato wa kutuma maudhui.
Kuweka video kwenye Foleni ya Televisheni yako
- Gusa Zaidi karibu na video unayotaka kuweka.
- Gusa Weka kwenye Foleni.
Angalia Foleni ya Televisheni Yako
Foleni ya televisheni yako itakuwa kwenye dirisha lililopunguzwa katika sehemu ya chini ya ukurasa wa YouTube kwenye simu yako. Telezesha kidole juu kwenye dirisha lililopunguzwa ili ufungue na uangalie foleni yako.
Kuondoa video kwenye Foleni ya televisheni yako
- Angalia Foleni ya Televisheni Yako.
- Gusa Zaidi karibu na video unayotaka kuondoa.