Fomu ya Maombi ya Kamari

Google Play huruhusu programu zenye leseni zinazowezesha uchezaji kamari mtandaoni kusambazwa nchini Australia, Austria, Ubelgiji, Brazili, Bulgaria, Kanada, Kolombia, Korasia, Jamhuri ya Zechia, Denmaki, Ethiopia, Ufini, Ujerumani, Ghana, Ugiriki, Hungaria, Japani, Kenya, Meksiko, Uholanzi, Nyuzilandi,  Naijeria, Norwe, Panama, Ureno, Romania, Serbia, Slovakia, Uhispania, Uswidi, Uswizi, Tanzania, Uturuki na Marekani (pamoja na nchi zilizopo zinazoruhusiwa:  Ayalandi, Ufaransa na Uingereza). Tafadhali angalia masharti ya nchi mahususi hapa.

Ili utume ombi la kusambaza kwenye Google Play programu mpya ya uchezaji kamari mtandaoni au usambazaji katika nchi/eneo jipya au aina mpya ya kamari inayoruhusiwa kwenye Google Play kwa programu iliyopo, tafadhali jaza fomu iliyo hapa chini kwa kila soko ambako ungependa programu yako mahususi kusambazwa. Ikiwa kuna mabadiliko ya umiliki au mabadiliko katika leseni na idhini ya kusambaza programu za uchezaji kamari mtandaoni, ni sharti programu hiyo iidhinishwe upya kupitia mchakato huu.

Kabla ya kuwasilisha programu yako kwa uidhinishaji, hakikisha kuwa ina daraja la maudhui la IARC (daraja lililo sawa na ukadiriaji wa "A/O" ("Watu Wazima Pekee") wa ESRB)), ipo katika aina zinazofaa kwenye Duka la Google Play kama vile Michezo: Kasino, Michezo: Kadi, Michezo: Spoti, Spoti, au Burudani na inatimiza masharti yaliyoorodheshwa kwenye Kituo cha Sera za Wasanidi Programu.

Unaweza kutarajia uidhinishaji na ukaguzi wa programu ya kamari kuchukua angalau wiki moja au zaidi. Kutokana na hali nyeti ya programu za kamari, mambo yafuatayo yanaweza kusababisha programu yako kuondolewa kabisa kwenye Google Play:

  • Majaribio ya kukwepa mchakato wa uidhinishaji
  • Ukiukaji unaokithiri au unaorudiwa wa sera

* Required field

Kwa ajili ya marejeleo - Majimbo ya Marekani na aina za kamari zinazoruhusiwa zinaonyeshwa katika jedwali lililo hapa chini:

Jimbo la Marekani Bahati nasibu (inayoendeshwa na jimbo) Kasino ya Mtandaoni Mashindano ya Mbio za Farasi Kamari ya Michezo
Arizona
Arkansas
California
Colorado
Connecticut
District of Columbia
(mtoa huduma wa serikali pekee)
Delaware
Georgia
Illinois
Indiana
Iowa
Kansas
Kentucky
Louisiana
Maine
Massachusetts
Maryland
Michigan
Montana
(mtoa huduma wa serikali pekee)
Nevada
(Poka pekee)
New Hampshire
New Jersey
New York
North Carolina
North Dakota
Ohio
Oregon
Pennsylvania
Rhode Island
Tennessee
Virginia
West Virginia
Wyoming

Kwa sasa haturuhusu uchapishaji wa programu za RMG katika majimbo ambayo hayajaorodheshwa hapo juu.

Jina la kwanza la mwakilishi aliyeidhinishwa anayewasilisha fomu hii
Jina la mwisho la mwakilishi aliyeidhinishwa anayewasilisha fomu hii
Inatumika kwa mawakala walioidhinishwa pekee wanaotuma maombi kwa niaba ya wahusika wengine
Sehemu zilizo hapa chini zinahitajika kwa programu zinazosimamiwa na serikali pekee
Inaweza kuwa anwani ya barua pepe uliyoweka hapo juu
Pia, isipokuwa Ujerumani, tafadhali ambatisha hapa chini (kupitia sehemu ya “Ambatisha nakala ya leseni zote au hati nyingine yoyote inayofaa ya ruhusa”) uthibitisho rasmi wa hati ya ruhusa ya programu kwenye ukurasa wenye nembo ya serikali. Tafadhali pia jaza sehemu ya "Maelezo ya Leseni ya Kamari" hapa chini (unaweza kuonyesha kuwa huna leseni katika sehemu ambazo ni sharti ujaze ikiwa leseni haihitajiki kwa programu inayosimamiwa na serikali).
Anwani ya barua pepe inayohusishwa na mmiliki wa akaunti ya Dashibodi ya Google Play (inaweza kuwa anwani ya barua pepe uliyoweka hapo juu)

Maelezo ya Leseni ya Kamari

Mawasilisho ni mahususi kwa programu na jimbo. Tafadhali wasilisha fomu mpya iwapo ungependa kusambaza programu yako katika majimbo mengine ya Marekani. Ikiwa unatuma ombi la kusambaza Mchezo wa Kidhahania wa Kila Siku tafadhali tumia fomu hii badala yake.

Ikiwa Jimbo la Marekani au aina ya kamari haijaorodheshwa kama chaguo hapa, Google Play bado hairuhusu usambazaji katika jimbo hilo au aina hiyo mahususi ya kamari.

Kumbuka kuwa istilahi "leseni ya kamari" inarejelea leseni yako ya wakala iwapo wewe ni wakala mwenye leseni ya biashara ya kamari. Programu za kamari zinazosambazwa na mawakala wenye leseni ya biashara ya kamari zilizo katika upeo wa leseni ya wakala hazichukuliwi kuwa "vijumlishaji" kwa mujibu wa Makubaliano ya Sheria na Masharti ya Kamari ya Google Play.

Ni sharti mwenye leseni awe huluki sawa na msanidi programu au, iwapo maombi ni ya mhusika mwingine, ni sharti mwenye leseni awe huluki sawa na mtoa huduma.
Ni sharti mwenye leseni awe huluki sawa na msanidi programu.
Aina ya kamari inayopatikana kwenye programu (chagua zote zinazotumika) *
Aina ya kamari inayopatikana kwenye programu (chagua zote zinazotumika) *
Aina ya kamari inayopatikana kwenye programu *
Aina ya kamari inayopatikana kwenye programu (chagua zote zinazotumika) *
Aina ya kamari inayopatikana kwenye programu *
Leseni ya Michezo ya Kuweka Dau ya Connecticut Lottery Corporation haiidhinishi kampuni za Bahati Nasibu kuendesha michezo ya kasino za mitandaoni; michezo ya kasino za mitandaoni inapatikana tu kwa Makabila na washirika wake wa michezo ya mtandaoni.
*
*
Pakia hati ya Usajili wa Huduma ya Usafirishaji wa Bidhaa kama leseni katika sehemu iliyo hapa chini
*
*
*
*
*
*
*
*

Kumbuka, pamoja na leseni husika za kamari, tafadhali weka pia maelezo kuhusu leseni husika za usambazaji kwenye Intaneti na utangazaji kwenye Intaneti kwa programu yako ya kamari hapa chini. Iwapo leseni ya utangazaji kwenye Intaneti haihitajiki kwa programu yako ya kamari, tafadhali andika “Haitumiki” katika sehemu husika.

Unaweza kuwasilisha jina moja tu la kifurushi
Programu iliyoorodheshwa hapo juu inapaswa kujumuisha yafuatayo. Bila masharti haya, hatutaweza kuendelea kushughulikia ombi lako.  *
Programu iliyoorodheshwa hapo juu inapaswa kujumuisha yafuatayo. Bila masharti haya, hatutaweza kuendelea kushughulikia ombi lako.  *
Programu zilizoorodheshwa hapo juu zinapaswa kujumuisha mambo yafuatayo. Bila masharti haya, hatutaweza kuendelea kushughulikia ombi lako.  *

Katika hali fulani, ikiwa uhusiano kati ya msanidi wa programu ya Google Play na mwenye leseni ya kamari si wazi, tunaweza kuomba barua kutoka kwa mwenye leseni inayotoa idhini bayana kwa msanidi wa programu ya Google Play kuchapisha programu yake ya kamari. Unaweza kuambatisha .pdf kwenye ukurasa wenye nembo ya shirika la mwenye leseni ukiwa na muhuri unaofaa na sahihi ili kuharakisha mchakato wa kuidhinisha.
Ni sharti uambatishe leseni yako ya kamari kwenye fomu ili ombi lako lisikataliwe. Ikiwa unawasilisha leseni ya kamari iliyotolewa nje ya Uingereza, ni sharti pia uwasilishe leseni ya uendelevu iliyotolewa na Tume ya Kamari ya Uingereza.
Makubaliano ya Sheria na Masharti ya Kamari ya Google Play*
  1. Your use of Google Play is subject at all times to your acceptance of and compliance with these additional terms and the Google Play Developer Distribution Agreement (“DDA”), currently located at https://play.google.com/about/developer-distribution-agreement.html, which is incorporated by reference (together, the "Google Play Gambling Terms and Conditions"). A defined term used in these additional terms which is not defined here shall have the same meaning as set out in the DDA. "Gambling Apps" means apps that offer or facilitate access to gambling functionality (including, without limitation, spread betting activities) submitted to Google Play and are governed by the Google Play Gambling Terms and Conditions.

  2. You further warrant, represent, and undertake that:

    • you hold a valid license for your Gambling App, (the “Gambling License”), if required by applicable laws or regulations;

    • your Gambling Apps will comply with the terms of your Gambling License, as well as all applicable laws, regulations, and relevant codes of practice;

    • your Gambling Apps are not aggregators of gambling products or services owned or operated by third parties and do not otherwise contain functionality (other than ads that are in compliance with Google Play Developer Policies) that allow end users to access gambling products or services owned or operated by third parties;

    • you will comply with all applicable laws, regulations, and relevant codes of practice with respect to the content and function of your Gambling Apps, which may include, but is not limited to:

      • including your Gambling License number within your Gambling Apps;

      • warning potential end-users that under-age gambling may be illegal;

      • requiring that users affirm that they are of legal age to use the Gambling App;

      • implementing and maintaining required age-verification systems;

      • ensuring that relevant staff are properly trained in the use of age-verification systems; and

      • posting information about responsible gambling, making available self tests to allow individuals to determine whether they are at risk of gambling addiction, providing information about treatment options for compulsive gambling, and indicating the location of treatment centers for gambling addiction.

  3. If you subcontract the development, management, uploading or distribution of your Gambling Apps, in whole or in part, to any third parties, including, but not limited to, any affiliate entities or any of your associated companies (to the extent allowed under applicable law), you are responsible for compliance by such third parties with the Google Play Gambling Terms and Conditions and for any acts or omissions of the third parties pursuant to the Google Play Gambling Terms and Conditions.

  4. If your Gambling License is terminated, you must immediately inform Google and remove all of your applicable Gambling Apps from Google Play.

  5. If your Gambling License is amended in any way, you must immediately inform Google and send an updated copy of the Gambling License as soon as possible, together with an explanation of the changes insofar as they relate to the provision of your Gambling Apps in any of the countries or territories in which you distribute your Gambling Apps via Google Play.

  6. You must inform Google immediately if you are the subject of any ruling by your local gambling authority, any other legal or regulatory authority, or any industry body, which may be relevant to the Gambling Apps.

  7. You agree to defend, indemnify and hold harmless Google, Authorized Carriers and Payment Processors, and any of Google’s, an Authorized Carrier’s or a Payment Processor’s affiliates, respective directors, officers, employees and agents, from and against any and all third party claims, actions, suits or proceedings, as well as any and all losses, liabilities, damages, costs and expenses (including reasonable attorneys fees) arising out of or accruing from any breach of the Google Play Gambling Terms and Conditions by you or any third party.

  8. No binding agreement is entered into until such time as Google notifies you that your application has been accepted. Google will send you a notification if and when your application has been accepted. Google reserves the right to remove any Gambling App from Google Play at any time in accordance with its rights set out in the DDA, or if it otherwise decides to no longer permit Gambling Apps on Google Play (in whole or in any particular country or territory).

*
*
https://myaccount.google.com/privacypolicy?hl=$0
Tutatuma baadhi ya maelezo ya akaunti na mfumo kwa Google na tunaweza kurekodi gumzo na simu za usaidizi. Tutatumia maelezo haya kuimarisha ubora wa mafunzo na huduma za usaidizi ili kusaidia kutatua matatizo ya kiufundi na kuboresha bidhaa na huduma zetu, kwa mujibu wa Sera ya Faragha na Sheria na Masharti yetu. Huduma za kutafsiri huenda zikatumika kwenye gumzo na barua pepe.
Maelezo ya ziada
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
17035385555955315633
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false
false