Sera za kisheria

Unaweza kuripoti maudhui kwa ukiukaji wa sera na ukiukaji wa kisheria

Kuripoti ukiukaji wa sera

YouTube ina Mwongozo wa Jumuiya na Mwongozo wa Faragha. Mwongozo huu huonyesha aina ya maudhui yanayoruhusiwa na yasiyoruhusiwa kwenye YouTube. Ili kuharakisha ukaguzi wa maudhui, unapaswa kuripoti maudhui yanayokiuka sera hizi kabla hujatuma ombi la kisheria.

Iwapo utapata maudhui unayofikiri kuwa yanakiuka Mwongozo wa Jumuiya wa YouTube, yaripoti. Iwapo utapata maudhui unayofikiri kuwa yanakiuka Mwongozo wa Faragha wa YouTube, unaweza kutuma malalamiko kuhusu faragha.

Kuripoti ukiukaji wa kisheria

Timu ya YouTube ya Usaidizi wa Kisheria hujibu maombi ya kuzuia video kwa sababu za kisheria. Ili upate maelezo zaidi kuhusu chaguo za kawaida za kuondoa maudhui kisheria, soma makala haya:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
10638680372138675300
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false