Kutatua hitilafu ya malipo ya ununuzi ambayo hayakukamilika au yaliyokataliwa

Iwapo unajaribu kufanya ununuzi kwenye YouTube, lakini malipo yako yamekataliwa au hayajakamilika, baini tatizo lako hapa chini na ujaribu hatua zilizopendekezwa. Ikiwa unahitaji usaidizi kuhusu malipo yaliyokataliwa ya uanachama wako wa kulipia kila mwezi, pata maelezo kuhusu jinsi ya kutatua hitilafu za malipo au ufikiaji.

Kurekebisha matatizo ya kadi za mikopo na za malipo

Kuna baadhi ya ujumbe wa kawaida kuhusu hitilafu ambao huenda ukaona kwa kadi za mikopo na malipo, na ni pamoja na:

  • "Kadi Imekataliwa"
  • "Sahihisha maelezo ya kadi hii au ujaribu kadi tofauti"
  • "Muda wa Kutumia Kadi Umekwisha"
  • “Tafadhali thibitisha maelezo ya kadi yako kisha ujaribu tena”

Ikiwa unaona mojawapo ya ujumbe huu kuhusu hitilafu au jambo linalofanana, jaribu yafuatayo:

Make sure your card information is up to date

Payments often fail due to an expired credit card or an incorrect billing address. You can see which payment methods you have stored in Google Pay, and when they expire. You can also click “Edit” on any listed payment method to see if your zip code matches your billing address.

If you have an expired payment method, follow these steps to remove it and then add a new payment method. After you’ve added a new payment method or updated your zip code, try your purchase again.

Submit any requested information

If you see an error message requesting that you submit additional information to Google, please follow the instructions to submit those details. For example, you may need to verify your identity on Google Pay before being able to purchase using your Google account.

You can also check Google Pay at any time for alerts or requests to fix account issues.

Check you have enough funds for the purchase

Sometimes a transaction is declined because of insufficient funds. Check your account to make sure you have enough to complete the purchase.

Note: when you sign up for a trial, you may see an authorization hold on your account. This hold is to ensure your payment method is valid, and it will be automatically removed by your bank and refunded after a short time. However, your sign-up may fail if you don’t have the hold amount in your account. You can learn more about authorization holds here.

Contact your bank or card issuer

Your card may have specific restrictions which cause your payment to fail. Contact the bank or company that issued your card to ask about the transaction and see if they know the reason for the decline.

If you’re outside of the U.S., you will also need to ensure your card and bank support international transactions. Depending on your country, you may also need to contact your bank to authorize your card’s use for online transactions.

Try to pay with a different payment method 

  • If the first payment method you tried to use didn’t work, you can try another method. Go back to the purchase screen and select, or add, another payment method.

  • If you see a grayed-out payment method while making a purchase on YouTube, that payment method isn't valid for that particular purchase. Use a different payment method to complete your purchase.

Tip: If you are still having trouble using your payment method to purchase on YouTube, you can consider paying with Google Play balance (if it’s available in your country). You can find which countries have Google Play balance available here.

First, add to your Google Play balance and then select the "Google Play Balance" option as your payment method. You can also read more about redeeming your Google play balance.

Matatizo yanayohusiana na njia zingine za kulipa (kama vile malipo ya mtoa huduma za vifaa vya mkononi)

Angalia vidokezo vyetu vya utatuzi wa matatizo ya kulipa kwa kutumia malipo ya moja kwa moja kupitia mtoa huduma wa simu au njia nyingine ya kulipa inayotumika hapa chini.

Malipo ya mtoa huduma za vifaa vya mkononi (malipo ya moja kwa moja kupitia mtoa huduma wa simu)

Tembelea makala yetu kuhusu utatuzi wa matatizo ya malipo ya moja kwa moja kupitia mtoa huduma wa simu.

Njia nyingine za kulipa

Huenda ukaona ujumbe ufuatao unapotumia baadhi ya njia za kulipa: "Malipo yako yamekataliwa kwa sababu ya hitilafu katika akaunti yako”.
Huenda unaona ujumbe huu kwa sababu:
  • Tumeona muamala wa kutiliwa shaka kwenye taarifa zako za malipo.
  • Tunahitaji maelezo zaidi ili kulinda akaunti yako dhidi ya ulaghai.
  • Tunahitaji maelezo zaidi ili kutii sheria ya Umoja wa Ulaya (Wateja kutoka nchi ambazo ni wanachama wa Umoja wa Ulaya pekee).

Angalia Google Pay ili uone arifa au maombi yoyote ya kurekebisha hitilafu za akaunti. Kwa mfano, huenda ukahitaji kuthibitisha utambulisho wako kwenye Google Pay kabla ya kuweza kununua ukitumia akaunti yako ya Google. Iwapo hakuna maombi au arifa zilizopo, hakikisha kuwa jina lako, anwani na maelezo yako ya malipo yamesasishwa.

Hatua zinazofuata

Baada ya kusasisha maelezo yako ya malipo, tafadhali jaribu kufanya ununuzi wako tena. Hatutajaribu kukutoza tena kiotomatiki.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
8661467667391607398
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false