Wasiliana na Timu ya YouTube ya Usaidizi kwa Watayarishi

Ikiwa wewe ni mtayarishi uliyetimiza masharti, unaweza kupata uwezo wa kufikia timu yetu ya Usaidizi kwa Watayarishi. Hii hujumuisha watayarishi wanaochuma mapato kupitia Mpango wa Washirika wa YouTube.

Jinsi tunavyoweza kukusaidia

Ikiwa unakumbwa na tatizo fulani au ungependa kunufaika zaidi na YouTube ukiwa mtayarishi, tunaweza kukusaidia:

  • Kuboresha jinsi unavyotumia YouTube, ikiwa ni pamoja na vidokezo kuhusu vipengele vya kiufundi au huduma za YouTube.
  • Kutii sera na mwongozo wa hakimiliki.
  • Kujibu maswali yanayohusu usimamizi wa akaunti na chaneli yako.
  • Kusaidia kufahamu utendaji wako na zana zetu za Takwimu.
  • Kurekebisha matatizo ya usimamizi wa haki na Content ID.
  • Kutatua na kurekebisha matatizo yanayohusiana na akaunti yako.
Ikiwa huoni chaguo la kupiga gumzo, hakikisha umeingia katika akaunti kwenye chaneli inayostahiki kupata usaidizi (kama vile kilicho kwenye Mpango wa Washirika wa YouTube). Iwapo bado huwezi kuwasiliana nasi, tufahamishe kwa kutumia kitufe cha Tuma maoni.

Email

Language availability

Usaidizi kupitia gumzo na barua pepe unapatikana katika lugha zifuatazo:
  • Kiarabu
  • Kibengali
  • Kichina (kilichorahisishwa)
  • Kichina (cha jadi)
  • Kiingereza
  • Kifaransa
  • Kijerumani
  • Kihindi
  • Kiitaliano
  • Kiindonesia
  • Kijapani
  • Kikorea
  • Kipolandi
  • Kireno
  • Kirusi
  • Kihispania
  • Kithai
  • Kituruki
  • Kivietinamu
  • Kiurdu

Kumbuka: Usaidizi kwa njia ya barua pepe katika lugha za Kiingereza na Kihispania unapatikana wakati wowote. Kwa lugha zingine zote, usaidizi unapatikana Jumatatu hadi Ijumaa katika saa za kawaida za kazi.

Email Creator Support from the Help Center

  1. Go to support.google.com/youtube and sign in.
  2. At the bottom under "Need more help?" select Contact us.
  3. Follow the prompts to email our Creator Support team.

Email Creator Support from YouTube

  1. Sign in to your YouTube channel. 
  2. Tap your profile picture , then select Help & feedback.
  3. Under "Need more help?" select Contact us.
  4. Follow the prompts to chat with our Creator Support team.

If you don't see the email option, make sure you’re signed in to the channel that's in the YouTube Partner Program. If you still can't get in touch with us, let us know using the Send feedback button.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16414268732258083045
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false