Chaguo zingine za kuripoti

Iwapo utiaji video alama haufanikishi kikamilifu suala lako, tuna baadhi ya mifumo mingine unayoweza kutumia.

Kuripoti chaneli

Utiaji alama ni njia nzuri ya kuripoti video ambazo unafikiria zinakiuka Mwongozo wetu wa Jumuiya, lakini wakati mwingine unaweza kuhitaji kuripoti zaidi ya aina moja ya maudhui au ungependa kuwasilisha ripoti ya kina zaidi kwa ajili ya ukaguzi. Ukiripoti chaneli ya mtumiaji, unaweza kuangazia maoni au video za mtumiaji na utupatie maelezo zaidi kuhusu malalamiko yako. Iwapo unahisi kwamba umeathirika na matumizi mabaya, zana hii ndiyo chaguo lako bora la kuripoti maudhui.

Kuripoti kuhusu faragha

Ili utume malalamiko kuhusu faragha, fuata Utaratibu wa Kuwasilisha Malalamiko kuhusu Faragha. Faragha yako inaheshimiwa wakati wote wa mchakato huu.

Kuripoti suala la kisheria

Iwapo unahitaji kuripoti suala la kisheria kwa niaba yako au mteja wako, unaweza kuwasiliana nasi kupitia Fomu zetu za Kisheria kwenye Wavuti. Ili kuongeza kasi ya uwezo wetu wa kuchunguza dai lako, tunakuhimiza uwasilishe dai lako kwa kutumia fomu yetu ya wavuti, badala ya njia ya faksi au posta.

Kumbuka kwamba matumizi mabaya ya fomu zetu za kisheria yanaweza kusababisha kufungwa kwa akaunti yako ya YouTube.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15771315173736789928
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false