Mabadiliko kwenye hadhi ya akaunti

Awali, akaunti za Google zilizokuwa na maonyo kwa kukiuka Mwongozo wa Jumuiya, maonyo ya hakimiliki au uzuiaji wa Content ID zingepoteza uwezo wa kufikia vipengele na mipango kadhaa ya akaunti.

Tumefanya mabadiliko katika utaratibu huu, kwa hivyo soma hapa chini ili upate mabadiliko kuhusu jinsi maonyo kwa kukiuka Mwongozo wa Jumuiya, maonyo ya hakimiliki na uzuiaji wa Content ID, yanavyoweza kuathiri akaunti yako ya Google.

Mwongozo wa maonyo

Ukipokea onyo la hakimiliki au onyo kwa kukiuka Mwongozo wa Jumuiya, bado utaweza kufikia vipengele na mipango mingi ya YouTube. Hata hivyo, maonyo ya akaunti yanaweza kuathiri uwezo wako wa kuchuma mapato kwenye kituo chako. Iwapo huna uwezo wa kufikia vipengele fulani, huenda ukahitaji kuthibitisha akaunti yako.

Kumbuka mwongozo huu:

Iwapo unatatizika, pata maelezo kuhusu jinsi ya kupata usaidizi kama Mtayarishi wa YouTube.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
14996802652434898847
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false