Ili kununua uanachama wa mara moja au unaojirudia kwenye YouTube, ni lazima utumie njia ya kulipa inayokubaliwa. Ikiwa unanunua kwa mara ya kwanza, njia yako ya kulipa itawekwa kwenye akaunti yako ya Google.
Tafuta njia za kulipa unazoweza kutumia
Njia za kulipa zinazopatikana zinatofautiana kulingana na nchi na huenda zikakabiliwa na vizuizi kulingana na mfumo wako wa malipo. Ikiwa unatozwa na YouTube, chagua nchi uliko ili uone chaguo zako za kulipa.
- Aljeria
- Samoa ya Marekani
- Ajentina
- Aruba
- Australia
- Austria
- Azabajani
- Bahareni
- Bangladeshi
- Belarusi
- Ubelgiji
- Bermuda
- Bolivia
- Bosnia na Hezegovina
- Brazili
- Bulgaria
- Kambodia
- Visiwa vya Cayman
- Kanada
- Chile
- Kolombia
- Kostarika
- Korasia
- Kuprosi
- Jamhuri ya Zechia
- Denmaki
- Jamhuri ya Dominika
- Ekwado
- Misri
- Elsavado
- Estonia
- Ufini
- Ufaransa
- Polinesia ya Ufaransa
- Jojia
- Ujerumani
- Ghana
- Ugiriki
- Guam
- Gwatemala
- Hondurasi
- Hong Kong
- Hangaria
- Aisilandi
- India
- Indonesia
- Iraki
- Ayalandi
- Israeli
- Italia
- Jamaika
- Japani
- Yordani
- Kazakistani
- Kenya
- Kuwaiti
- Laosi
- Lativia
- Lebanoni
- Libya
- Lishenteni
- Litwania
- Lasembagi
- Malesia
- Malta
- Meksiko
- Moroko
- Nepali
- Uholanzi
- Nyuzilandi
- Nikaragwa
- Nigeria
- Visiwa vya Mariana Kaskazini
- Norwe
- Omani
- Pakistani
- Panama
- Papua
- Paragwai
- Peru
- Filipino
- Polandi
- Ureno
- Pwetoriko
- Katari
- Riyunioni
- Romania
- Urusi - haipatikani kwa muda
- Saudia
- Senegali
- Sabia
- Singapoo
- Slovakia
- Slovenia
- Afrika Kusini
- Korea Kusini
- Uhispania
- Sirilanka
- Uswidi
- Uswizi
- Taiwani
- Tanzania
- Tailandi
- Tunisia
- Uturuki
- Visiwa vya Turks na Caicos
- Visiwa vya Virgin vya Marekani
- Uganda
- Ukraini
- Muungano wa Falme za Kiarabu
- Uingereza
- Marekani
- Urugwai
- Venezuela
- Vietnamu
- Yemeni
- Zimbabwe