Kupata kadi za maelezo ya ziada

Ili upate kadi ya maelezo ya ziada ya mtu fulani, gusa picha ya wasifu inayoonekana karibu na maoni ya video.

Kwenye kadi ya maelezo ya ziada ya mtu husika, unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mtu huyo kupitia maelezo ambayo tayari yanapatikana hadharani kwenye YouTube. Kadi ya maelezo ya ziada ya mtu inaweza kujumuisha:

  • Maelezo ya msingi ya kituo chake
  • Maoni mapya zaidi ambayo ametoa kwenye kituo ambacho unatazama
  • Vituo anavyofuatilia, iwapo ameamua kuviweka hadharani

Kudhibiti mipangilio yako ya faragha

Hatua ya kushiriki na jumuiya ya YouTube, kama vile kufanya vituo unavyofuatilia vionekane hadharani, inaweza kuwasaidia wengine wagundue maudhui mapya. Unaweza kuona au kubadilisha wakati wowote mipangilio yako ya faragha ya maelezo yafuatayo, ambayo huenda yakaonyeshwa pamoja na maoni yako:

Ni muhimu kila mtu ajihisi salama na kuwa amendwa kwenye YouTube. Ili uripoti matumizi mabaya kutoka kwa mtu mwingine anayetoa maoni, fuata maagizo haya ili uripoti kituo.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16487298400589282229
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false