Pata usaidizi unaotolewa kwa watumiaji wa YouTube

 Kituo cha Usaidizi cha YouTube

Tayari uko hapa, mahali bora zaidi kwa ajili ya maelezo yote ya utatuzi. Kitufe cha Usaidizi kinapatikana katika sehemu ya chini ya ukurasa wowote wa YouTube, upande wa chini wa menyu ya kushoto, au kwenye support.google.com/youtube.

 Vituo vilivyo na video kuhusu Usaidizi kwenye YouTube

Angalia Kituo chetu cha YouTube cha Watazamaji ili upate video zitakazokupa taarifa na vidokezo vipya na upate maelezo kuhusu jinsi ya kutumia bidhaa zetu.

 Jumuiya ya Usaidizi ya YouTube

Pata majibu kwenye Jumuiya ya Usaidizi ya YouTube - imedhaminiwa na TeamYouTube. Unaweza kuangalia machapisho yaliyoangaziwa ili uone taarifa mpya kwenye TeamYouTube.

kitambulishi cha @TeamYouTube kwenye Twitter

Tufuatilie @TeamYouTube kwenye Twitter kwa taarifa za muda halisi na vidokezo vya utatuzi ili unufaike zaidi na YouTube.

Timu yetu hutoa taarifa na kujibu maswali kwa lugha za Kiingereza, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kifaransa, Kirusi, Kijapani, Kiindonesia, Kiarabu na Kihindi.

Pata maelezo zaidi kuhusu TeamYouTube.

Maswali ya hakimiliki

Maswali ya sera

Tumia zana hizi kuelewa sera za YouTube, desturi za usalama, na zana za kupiga ripoti:

  • Zana na nyenzo za usalama: Pata maelezo zaidi kuhusu zana na nyenzo za YouTube, na upate vidokezo kuhusu mada mbalimbali.
  • Mwongozo wa Jumuiya: Mwongozo huu husaidia YouTube iendelee kuwa yenye burudani na kufurahisha kwa watu wote.
  • Zana za Kuripoti na utekelezaji: Pata maelezo zaidi kuhusu kuripoti maudhui kwenye YouTube na ufahamu jinsi tunavyotekeleza Mwongozo wetu wa Jumuiya.

Kumbuka: Baadhi ya nyenzo zinapatikana tu katika lugha chache.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
1370934645966845885
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false