Kuripoti utabiri wa utafutaji katika YouTube

Ingawa tunajitahidi kuzuia utabiri usiofaa, lakini wakati mwingine tunakosea. Ikiwa unaamini kuwa utabiri unakiuka mojawapo ya Sera za kukamilisha kiotomatiki, hizi ni hatua za kuripoti ukiukaji huo:

  1. Katika sehemu ya chini ya kisanduku cha utabiri kwenye upau wa kutafutia, bofya Ripoti utabiri wa utafutaji.
  2. Weka maoni yako, kisha ubofye RIPOTI.

Tutakagua maoni yako, lakini hatuondoi kiotomatiki utabiri ulioripotiwa.

Nina tatizo la kisheria kuhusu utabiri

Ili utume ombi la kuondolewa kwa maudhui ambayo unaamini yanakiuka sheria, jaza fomu hii.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
14573583588777187387
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false