Kuondoka katika akaunti au kuondoa akaunti katika ya YouTube kwenye TV au kifaa chako cha michezo ya video

Unaweza kuondoka kwenye akaunti au uondoe akaunti katika YouTube kwenye televisheni au kifaa chako cha michezo ya video, bila kujali ikiwa una kifaa au unafanya mabadiliko ukiwa mbali.

Ikiwa una kifaa husika

Ili uondoke kwenye akaunti:

  1. Fungua programu ya YouTube kwenye televisheni yako.
  2. Chagua menyu ya kushoto.
  3. Chagua picha yako ya wasifu ili ufungue ukurasa wa akaunti.
  4. Chagua akaunti yako kwenye orodha kisha ubofye Ondoka katika akaunti.

Ili uondoe akaunti yako kwenye ukurasa wa mipangilio ya akaunti:

  1. Fungua programu ya YouTube kwenye televisheni yako.
  2. Chagua menyu ya kushoto.
  3. Chagua aikoni ya akaunti yako ili ufungue ukurasa wa akaunti.
  4. Chagua akaunti yako kwenye orodha kisha ubofye Ondoa Akaunti.
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuondoa wasifu wa mgeni kwenye YouTube Kids.

Ili ubadilishe akaunti:

  • Chagua akaunti yoyote ambako umeingia.
  • Kuongeza akaunti mpya.
  • Kutumia hali ya matumizi ya wageni.
  • Chagua wasifu kwenye YouTube Kids ili uingie katika YouTube Kids.

Ikiwa huna tena kifaa husika au ungependa kuondoka kwenye akaunti ukiwa mbali

  1. Nenda kwenye https://myaccount.google.com/device-activity katika kifaa chochote.
  2. Chagua kifaa ambacho ungependa kutumia kuondoka katika akaunti.
  3. Chagua Ondoka katika akaunti.

Unaweza pia kuondoa idhini ya kufikia YouTube kwenye TV katika Akaunti ya Google kwa kwenda kwenye https://myaccount.google.com/permissions kisha chagua YouTube kwenye TVkisha Ondoa Idhini.

Kumbuka: Hatua ya kuondoa idhini itakuondoa katika akaunti kwenye kifaa chochote kinachotumia programu ya YouTube kwenye TV kupitia akaunti hiyo.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
17855204478465474034
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false