Kutatua matatizo kuhusu manufaa ya wanachama wa YouTube Premium

Ikiwa wewe ni mwanachama wa YouTube Premium na unakabiliwa na matatizo ya manufaa ya uanachama wako, angalia matatizo haya ya kawaida na hatua za utatuzi. Utapata maelezo kuhusu jinsi ya kurekebisha matatizo ya kupakua video, kwa nini huenda unaonyeshwa matangazo, kurekebisha hitilafu (kama vile, "Uchezaji umesitishwa") na zaidi.

Angalia makala haya ili upate usaidizi:

Vidokezo na mbinu:
  • Ikiwa unapata hitilafu zozote zilizotajwa hapo juu, tunapendekeza utume maoni kuhusu bidhaa kwa YouTube: Chagua picha yako ya wasifu > Maoni  katika YouTube. 
  • Wanachama wa YouTube Premium waliojisajili kwenye kifaa cha iOS: Ili ufikie manufaa yako ya YouTube Premium, hakikisha umeingia katika akaunti ya YouTube uliyotumia kufanya ununuzi wa uanachama wako katika iTunes.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
729248598165365119
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false