Kujihusisha na Wachangiaji kwenye YouTube

YouTube imeunda mpango wa kutambua na kusaidia jumuiya ya kimataifa ya wachangiaji.

Wanachama hawa wanapenda kusaidia kuboresha matumizi bora zaidi ya YouTube kwa kila mtu kwa:

  • Kujibu maelfu ya maswali katika mijadala yetu ya usaidizi (inapatikana kwa Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kijapani, Kireno, Kirusi na Kihispania).
  • Kuwasiliana na wanachama wengine wa YouTube Music na kusaidia kujibu maswali katika Jumuiya yetu ya Usaidizi ya YouTube Music (inapatikana kwa Kiingereza).
  • Kutayarisha video ili kuwasaidia wanachama na watayarishi kuelewa jinsi ya kutumia YouTube vyema zaidi (inapatikana kwa Kifaransa, Kijerumani, Kijapani, Kireno, Kirusi na Kihispania).

Kujiunga na Mpango wa Wachangiaji kwenye YouTube

Kwa kujiunga katika Mpango wa Wachangiaji kwenye YouTube, unaweza kutusaidia kuboresha YouTube kuwa mfumo bora zaidi wa kutuma, kutazama na kutagusana na video kila siku. Unaweza pia kupata idhini ya kufikia warsha za kipekee, kuwasiliana na timu ya YouTube na kupata onyesho la kukagua bidhaa na vipengele vipya. Wachangiaji kwenye YouTube ni washiriki katika Mpango wa Wataalamu wa Bidhaa za Google.

Ili uwe Mtaalamu wa YouTube na ushiriki katika Mpango huu, ni lazima ukubali na utii Sheria za Mpango wa Wachangiaji kwenye YouTube. Kumbuka kuwa Mpango huu uko katika toleo la beta na unaweza kubadilika. Tunatarajia kuboresha mpango uwe bora zaidi muda unavyosonga. Je, ungependa kujiunga? Jisajili hapa.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
7326962801468315203
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false