Ikiwa ulinunua uanachama au bidhaa nyingine dijitali kwenye YouTube, unaweza kuwasiliana na timu ya usaidizi ili upate usaidizi. Ili uwasiliane na timu ya Usaidizi ya YouTube, hakikisha kuwa umeingia katika akaunti uliyotumia kufanya ununuzi.
Kwa sasa tuna kiwango kikubwa cha wateja tunaowahudumia. Ukiwasiliana nasi, utagundua kuwa muda wa kusubiri ni mrefu zaidi kuliko kawaida.
Pata usaidizi
Ili uwasiliane na kituo cha usaidizi au uombe urejeshewe pesa, chagua lugha unayopendelea kutoka kwenye jedwali lililo hapa chini. Tunapendekeza ufuate hatua hizi za utatuzi ili uchunguze mwenyewe na urekebishe tatizo lako.
Lugha | Mbinu za Usaidizi | Saa za Kazi |
Kiarabu | Barua pepe | Saa 11 Asubuhi hadi Saa 8 Mchana, Saa za GMT, Jumatatu hadi Ijumaa |
Kijerumani | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 3 Asubuhi hadi saa 5 Usiku, Saa za GMT, kila siku |
Kiingereza | Simu, Gumzo, Barua pepe | Kila wakati, kila siku |
Kihispania (Uhispania) | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 5 Asubuhi hadi Saa 9 Usiku, Saa za GMT, kila siku |
Kihispania (LATAM) | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 5 Asubuhi hadi Saa 9 Usiku, Saa za GMT, kila siku |
Kifaransa (Kanada) | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 8 Mchana hadi Saa 4 Jioni Saa za GMT, Jumatatu hadi Ijumaa |
Kifaransa (Ufaransa) | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 3 Asubuhi hadi saa 11 Jioni, Saa za GMT, kila siku |
Kiindonesia | Barua pepe | Saa 2 Asubuhi hadi saa 11 Jioni Saa za WIB, Jumatatu hadi Ijumaa |
Kiitaliano | Gumzo na Barua pepe | Saa 3 Asubuhi hadi Saa 12 Jioni, Saa za GMT, Jumatatu hadi Ijumaa |
Kijapani | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 3 Asubuhi hadi Saa 12 Jioni, Saa za JT, Jumatatu hadi Ijumaa |
Kikorea | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 3 Asubuhi hadi Saa 2 Usiku, Saa za KST, kila siku |
Kireno (Ureno) | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 5 Asubuhi hadi Saa 8 Usiku, Saa za GMT, kila siku |
Kireno (Brazili) | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 2 Asubuhi hadi saa 5 Usiku, Saa za BRT, kila siku |
Kirusi | Gumzo na Barua pepe | Saa 5 Asubuhi hadi Saa 2 Jioni Saa za GMT, Jumatatu hadi Ijumaa |
Kiswidi | Simu, Gumzo, Barua pepe | Saa 3 Asubuhi hadi saa 11 Jioni, Saa za GMT, kila siku |
Kithai | Barua pepe | Saa 2 Asubuhi hadi saa 11 Jioni Saa za ICT |
Kituruki (Uturuki) | Barua pepe na Simu | Saa 1 Asubuhi hadi Saa 10 Jioni Saa za GMT, Jumatatu hadi Ijumaa |
Kumbuka: Ukipokea YouTube Premium kupitia usajili wa Pixel Pass, pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kudhibiti akaunti yako hapa.