Orodha ya Nyenzo

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika wanaotumia Kidhibiti Maudhui cha YouTube kudhibiti maudhui yao yaliyo na hakimiliki.

<ResourceList> ina maelezo ya nyenzo za msingi (rekodi za sauti au video) na nyenzo za ziada (kazi ya sanaa inayohusishwa) zilizo katika wasilisho. Kwenye Albamu ya Sauti ya nyimbo 10 kwa mfano, marejeleo ya nyenzo ya A1 hadi A10 ni rekodi za sauti na A11 ni kazi ya sanaa ya albamu. YouTube hutumia kazi ya sanaa ya albamu kama kipengele muhimu katika Video za Picha zinazozalishwa za rekodi kwenye albamu hii. Mipasho ya Toleo lenye Nyenzo Moja halipaswi kuwa na kazi yoyote ya sanaa, kwa mujibu wa wasifu wa DDEX.

YouTube haitumii metadata ya kila eneo katika <ResourceList>. Ikiwa ujumbe una matoleo mengi ya metadata ya wimbo, YouTube hutumia tu toleo linaloonekana kwanza katika ujumbe.

Vipengele vinavyomilikiwa na YouTube

Panua sehemu hapa chini ili uangalie kwa haraka vipengele vinavyomilikiwa na YouTube. Tumia sehemu husika katika ukurasa huu kwa mifano na maelezo ya kina.

Vipengele vinavyomilikiwa na YouTube

Vipengele vifuatavyo ni sehemu ya kihifadhi cha majina kinachomilikiwa na YouTube:

Rekodi za sauti

<SoundRecordingId>
      [...]
      <!--- Sets the custom ID on the Sound Recording asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:SR_CUSTOM_ID">sound_recording_id_1234</ProprietaryId>

      <!--- Identifies the Sound Recording asset to be updated by Asset ID -->
      <ProprietaryId 
      Namespace="YOUTUBE:SR_ASSET_ID">A222222222222222</ProprietaryId>

      <!--- Adds an asset label to the Sound Recording asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:SR_ASSET_LABEL">sr_asset_label</ProprietaryId>
      [...]
</SoundRecordingId>

Video za picha

<SoundRecordingId>
      [...]
      <!--- Sets the custom ID on the Art Track asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:AT_CUSTOM_ID">art_track_id_1234</ProprietaryId>

      <!--- Adds one asset label to the Art Track asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:AT_ASSET_LABEL">at_asset_label</ProprietaryId>
      [...]
</SoundRecordingId>

Video za muziki

<VideoId>
      [...]
      <!--- Sets the custom ID on the Music Video asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:MV_CUSTOM_ID">music_video_id_1234</ProprietaryId>

      <!--- Identifies the Music Video asset to be updated by Asset ID -->
      <ProprietaryId 
      Namespace="YOUTUBE:MV_ASSET_ID">A333333333333333</ProprietaryId>

      <!--- Adds one asset label to the Music Video asset -->
      <ProprietaryId     
      Namespace="YOUTUBE:MV_ASSET_LABEL">mv_asset_label1</ProprietaryId>

      <!--- Updates a specific Music Video asset -->
      <ProprietaryId  Namespace="YOUTUBE:VIDEO_ID">9bZkp7q19f0</ProprietaryId>

      <!-- Specifies the channel to upload the video in  -->
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:CHANNEL_ID">MyChannel</ProprietaryId>
      [...]
</VideoId>

Video za wavuti

<VideoId>
      [...]
      <!--- Sets the custom ID on the Web Video asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:WEB_CUSTOM_ID">web_video_id_1234</ProprietaryId>

      <!--- Identifies the Web asset to be updated by Asset ID -->
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:Web_ASSET_ID">A222222222222222
      </ProprietaryId>

      <!--- Adds one asset label to the Web Video asset -->
      <ProprietaryId     
      Namespace="YOUTUBE:WEB_ASSET_LABEL">web_asset_label1</ProprietaryId>

      <!--- Updates a specific Web Video asset -->
      <ProprietaryId  Namespace="YOUTUBE:VIDEO_ID">9bZkp7q19f0</ProprietaryId>

      <!-- Specifies the channel to upload the video in  -->
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:CHANNEL_ID">MyChannel</ProprietaryId>
      [...]
</VideoId>

Orodha za kucheza

<CollectionId>
      [...]
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:PLAYLIST_ID">PLONRDPtQh-FLMXFMM-
      SJHySwjpidVXmzw</ProprietaryId>
      [...]
</CollectionId>

Nyenzo za rekodi za sauti

Vitambulisho vya rekodi za sauti

YouTube inahitaji kila kipengele cha <SoundRecording> kijumuishe msimbo sahihi wa ISRC. Ikiwa unafuatilia rekodi ukitumia msimbo wa kitambulisho cha umiliki, unaweza kujumuisha kipengele cha <ProprietaryId> kama tegemezi kwa kipengele cha <ISRC> ndani ya <SoundRecordingId>. Muundo wa kipengele cha <ProprietaryId> ni:

<SoundRecordingId>
      <ISRC>USRE10400888</ISRC>
      <ProprietaryId Namespace="DPID:your_DPid">custom_id_1234</ProprietaryId>
</SoundRecordingId>

Kitambulisho cha Kikundi cha DDEX (Kihifadhi cha majina) na kitambulisho cha umiliki wa wimbo zinahitajika. YouTube huhifadhi thamani ya kitambulisho cha umiliki katika sehemu ya custom_id ya kipengee cha rekodi ya sauti (kwa uwasilishaji wa Content ID) na kipengee cha Video ya Picha (kwa uwasilishaji wa YouTube Premium). Kwa mfano, XML hapo juu inapelekea kipengee chenye ISRC USRE10400888 na thamani ya custom_id ya custom_id_1234.

Ili uweke thamani tofauti za custom_id kwenye Rekodi ya Sauti na Kipengee cha Video ya Picha, unaweza kutumia vihifadhi maalum vya majina vya "YOUTUBE:SR_CUSTOM_ID" na "YOUTUBE:AT_CUSTOM_ID":

<SoundRecordingId>
      <ISRC>USRE10400888</ISRC>
      <!--- Sets the custom ID on the Sound Recording asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:SR_CUSTOM_ID">sound_recording_id_1234</ProprietaryId>
      <!--- Sets the custom ID on the Art Track asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:AT_CUSTOM_ID">art_track_id_1234</ProprietaryId>
</SoundRecordingId>

Iwapo unatuma sasisho kwa Kipengee kilichopo cha Rekodi ya Sauti, unaweza kubaini kipengele kulingana na kitambulisho cha kipengee kwa kutumia kihifadhi maalum cha majina cha “YOUTUBE:SR_ASSET_ID”:

<SoundRecordingId>
      <ISRC>USRE10400888</ISRC>
      <!--- Identifies the Sound Recording asset to be updated by Asset ID -->
      <ProprietaryId 
      Namespace="YOUTUBE:SR_ASSET_ID">A111111111111111</ProprietaryId>
</SoundRecordingId>

Ili uweke lebo za kipengee kwenye Rekodi ya Sauti na Vipengee vya Video ya Picha, unaweza kutumia vihifadhi maalum vya majina vya ”YOUTUBE:SR_ASSET_LABEL” na ”YOUTUBE:AT_ASSET_LABEL”:

<SoundRecordingId>
      <ISRC>USRE10400888</ISRC>
      <!--- Adds two asset labels to the Sound Recording asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:SR_ASSET_LABEL">sr_asset_label1</ProprietaryId>
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:SR_ASSET_LABEL">sr_asset_label2</ProprietaryId>
      <!--- Adds one asset label to the Art Track asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:AT_ASSET_LABEL">at_asset_label</ProprietaryId>
</SoundRecordingId>

Metadata ya rekodi ya sauti

Kwa mwongozo kuhusu jinsi ya kujaza kiotomatiki metadata ya Rekodi ya Sauti, tafadhali rejelea Mwongozo wa Metadata ya Muziki kutoka Music Business Association. Metadata kutoka kwenye lebo ya <SoundRecording> hutumika kwa ajili ya:

  • Uwasilishaji wa Content ID: metadata iliyohifadhiwa kwenye Kipengee cha Rekodi ya Sauti.
  • Uwasilishaji wa YouTube Premium: Kubuni Video ya Picha na metadata iliyohifadhiwa kwenye Kipengee cha Video ya Picha.

Umiliki wa rekodi ya sauti

Umiliki wa rekodi ya sauti unapatikana kwenye lebo ya <RightsController> chini ya kipengele cha <SoundRecording>. Kwa mujibu wa kiwango cha DDEX, lebo ya <RightsController> inaashiria unapomiliki haki za kipekee za rekodi. Hii ni tofauti na Ofa zilizotolewa, lakini unapaswa tu kutoa ofa za Content ID katika maeneo ambako unamiliki haki za kipekee.
Ili uweke umiliki kwenye kipengee cha Rekodi ya Sauti, ni sharti utume mipasho ya Toleo lenye Nyenzo Moja, au mipasho ya Albamu ya Sauti ambayo imeweka YouTube_ContentID kama Mpokeaji wa Ujumbe.

Umiliki wa Rekodi ya Sauti hutumika kwa kutumia lebo ya <RightsController> chini ya kipengele cha <SoundRecording>. Ni sharti <PartyId> ilingane na ile ya lebo ya <MessageSender> (au lebo ya <SentOnBehalfOf>, ikiwa imewekwa).

Mfano wa XML hapa chini unabainisha kuwa Kampuni ya Kurekodi Muziki ya ABC inamiliki Rekodi ya Sauti nchini Afrika Kusini:

<ResourceList>
    <SoundRecording>
        [...]
        <ResourceReference>A1</ResourceReference>
        [...]
        <SoundRecordingDetailsByTerritory>
            <!--Specifies the territory/territories in which ownership should
            be applied. -->
            <TerritoryCode>ZA</TerritoryCode>
            [...]
            <!-- This section sets the ownership of the Sound Recording. -->
            <RightsController>
                <PartyName>
                    <FullName>ABC Label</FullName>
                </PartyName>
                ​<PartyId>PADPIDAZZZZXXXXXXU</PartyId>
                <RightsControllerRole>RightsController</RightsControllerRole>
                <RightSharePercentage>100.00</RightSharePercentage>
            </RightsController>
        [...]
        </SoundRecordingDetailsByTerritory>
    [...]
    </SoundRecording>
</ResourceList>

Umiliki wa Video ya Picha

Video za Picha hubuniwa kulingana na haki za utiririshaji wenye leseni (zisizo za kipekee). Kwa hivyo, Vipengee vya Video ya Picha havitumiki kamwe kwa Content ID na umiliki wa Kipengee cha Video ya Picha utakisiwa kutoka kwenye Ofa. Kipengele cha <RightsController> hupuuzwa katika mipasho inayobuni tu Video za Picha.

 Nyenzo za video za muziki

Aina ya video

Aina ya video inaweza kubainishwa kwa kutumia <VideoType>.  Aina zinazoruhusiwa za Video ya Muziki ni:

  • LongFormMusicalWorkVideo
  • ShortFormMusicalWorkVideo

Utambulisho wa video za muziki

YouTube inahitaji kila kipengele cha <Video> cha Video ya Muziki kijumuisha msimbo sahihi wa ISRC. Msimbo huu wa ISRC ni sharti uwe tofauti na ule uliotumiwa kwenye rekodi ya sauti kulingana na mwongozo wa IFPI. Iwapo unafuatilia pia nyenzo za video ukitumia msimbo wa kitambulisho cha umiliki, unaweza kujumuisha kipengele cha <ProprietaryId> kama tegemezi ya kipengele cha <ISRC> ndani ya <VideoId>. Muundo wa kipengele cha <ProprietaryId> ni:

<VideoId>
      <ISRC>USRE10400889</ISRC>
      <ProprietaryId Namespace="DPID:your_DPid">custom_id_1234</ProprietaryId>
</VideoId>

YouTube huhifadhi thamani ya kitambulisho cha umiliki katika sehemu ya custom_id ya kipengee cha video ya muziki (kwa uwasilishaji wa Content ID). Kwa mfano, XML hapo juu husababisha Kipengee cha Video ya Muziki chenye ISRC ya USRE10400889 na thamani ya custom_id ya custom_id_1234.

Ili uweke thamani ya custom_id kwenye Kipengee cha Video ya Muziki, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:MV_CUSTOM_ID":

<VideoId>
      <ISRC>USRE10400889</ISRC>
      <!--- Sets the custom ID on the Music Video asset -->
      <ProprietaryId
      Namespace="YOUTUBE:MV_CUSTOM_ID">music_video_id_1234</ProprietaryId>
</VideoId>

Ikiwa unatuma sasisho la Kipengee kilichopo cha Video ya Muziki, unaweza kutambua kipengee kulingana na kitambulisho cha kipengee kwa kutumia kihifadhi maalum cha majina cha “YOUTUBE:MV_ASSET_ID”:

<VideoId>
      <ISRC>USRE10400889</ISRC>
      <!--- Identifies the Music Video asset to be updated by Asset ID -->
      <ProprietaryId 
      Namespace="YOUTUBE:MV_ASSET_ID">A222222222222222</ProprietaryId>
</VideoId>

Ili uweke lebo za vipengee kwenye Kipengee cha Video ya Muziki, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:MV_ASSET_LABEL":

<VideoId>
      <ISRC>USRE10400889</ISRC>
      <!--- Adds two asset labels to the Music Video asset →
      <ProprietaryId     
      Namespace="YOUTUBE:MV_ASSET_LABEL">mv_asset_label1</ProprietaryId>
      <ProprietaryId  
      Namespace="YOUTUBE:MV_ASSET_LABEL">mv_asset_label2</ProprietaryId>
</VideoId>

Ili ubainishe chaneli ambapo video inapaswa kupakiwa, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:CHANNEL_ID":

<VideoId>
     <ISRC>USRE10400889</ISRC>
     <!-- Specifies the channel to upload the video in  -->
     <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:CHANNEL_ID">MyChannel</ProprietaryId>
</VideoId>

Iwapo hakuna chaneli iliyobainishwa katika mipasho, basi video itapakiwa katika chaneli chaguomsingi iliyowekwa kwenye akaunti ya aliyepakia.

Ili usasishe video iliyopakiwa awali, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:VIDEO_ID":

<VideoId>
      <ISRC>USRE10400889</ISRC>
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:VIDEO_ID">9bZkp7q19f0</ProprietaryId>
</VideoId>

Ili upakie Video ya Muziki kama ambayo haijaorodheshwa, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YouTube: IS_DISCOVERBALE": 

<VideoId>
      <ISRC>USRE10400889</ISRC>
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:IS_DISCOVERBALE">false</ProprietaryId>
</VideoId>

Metadata ya video ya muziki

Kwa mwongozo wa jinsi ya kujaza kiotomatiki metadata ya Video ya Muziki katika DDEX, tafadhali rejelea Mwongozo wa Metadata ya Muziki kutoka Music Business Association. Vipengele vifuatavyo kutoka kwenye lebo ya <Video> hutumiwa kujaza kiotomatiki video na metadata kwenye YouTube:

Video: Jina <VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    <Title TitleType="DisplayTitle">
        <TitleText>Sukari</TitleText>
    </Title>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>
Video: Lebo au Maneno Muhimu <VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    <Keywords>Keyword1</Keywords>
    <Keywords>Keyword2</Keywords>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>
Kipengee: Wimbo <Video>
   [...]
    <ReferenceTitle>
        <TitleText>Sukari</TitleText>
    </ReferenceTitle>
   [...]
</Video>

 
Kipengee: Jina la Lebo <VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    <LabelName>Lebo ya Jaribio</LabelName>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>
Kipengee: Wasanii

<VideoDetailsByTerritory>
    [...]
   <DisplayArtist SequenceNumber="1">
        <PartyName>
            <FullName>Zuchu</FullName>
        </PartyName>
        <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>
    </DisplayArtist>

    <DisplayArtist SequenceNumber="2">
        <PartyName>
            <FullName>Harmonize</FullName>
        </PartyName>
        <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>
    </DisplayArtist>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>

Kipengee: Aina <VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    <Genre>
        <GenreText>Bongo Flava</GenreText>
    </Genre>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>

 

Maelezo ya video yanajazwa kiotomatiki kutoka kwenye <Release>, wala si <Video>. Angalia sehemu ya Orodha ya Matoleo kwa maelezo zaidi.

Umiliki wa video ya muziki

Umiliki wa Kipengee cha Video ya Muziki hupatikana kwenye lebo ya <RightsController> chini ya kipengele cha <Video>. Kwa mujibu wa kiwango cha DDEX, lebo ya <RightsController> inaashiria unapomiliki haki za kipekee za video. Hii ni tofauti na Ofa zilizotolewa, lakini unapaswa tu kutoa ofa za Content ID katika maeneo ambako unamiliki haki za kipekee.

Umiliki wa Kipengee cha Video ya Muziki hutumika kwa kutumia lebo ya <RightsController> chini ya kipengele cha <Video>. Ni sharti <PartyId> ilingane na ile ya lebo ya <MessageSender> (au lebo ya <SentOnBehalfOf>, ikiwa imewekwa).

Mfano wa XML hapa chini unabainisha kuwa Kampuni ya Kurekodi Muziki ya ABC inamiliki Kipengee cha Video ya Muziki nchini Afrika Kusini:

<ResourceList>
    <Video>
        [...]
        <ResourceReference>A1</ResourceReference>
        [...]
        <VideoDetailsByTerritory>
            <!--Specifies the territory/territories in which ownership should be applied -->
            <TerritoryCode>ZA</TerritoryCode>
            [...]
            <!-- This section sets the ownership of the Music Video asset -->
            <RightsController>
                <PartyName>
                    <FullName>ABC Label</FullName>
                </PartyName>
                <PartyId>PADPIDAZZZZXXXXXXU</PartyId>
                <RightsControllerRole>RightsController</RightsControllerRole>
                <RightSharePercentage>100.00</RightSharePercentage>
            </RightsController>
        [...]
        </VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    </Video>
</ResourceList>

Nyenzo za video za wavuti

Aina ya video

Aina ya video inaweza kubainishwa kwa kutumia <VideoType>. Aina zinazoruhusiwa za video ya wavuti ni:

  • LongFormNonMusicalWorkVideo
  • ShortFormNonMusicalWorkVideo

Utambulisho wa video za wavuti

Iwapo unafuatilia nyenzo za video ukitumia msimbo wa kitambulisho cha umiliki, unaweza kujumuisha kipengele cha <ProprietaryId> kama tegemezi ya kipengele cha <ISRC> ndani ya <VideoId>. Muundo wa kipengele cha <ProprietaryId> ni:

<VideoId>
      <ProprietaryId Namespace="DPID:your_DPid">custom_id_1234</ProprietaryId>
</VideoId>

YouTube huhifadhi thamani ya kitambulisho cha umiliki katika sehemu ya custom_id ya kipengee cha video ya wavuti (kwa uwasilishaji wa Content ID). Kwa mfano, XML hapo juu husababisha kipengee cha Wavuti chenye thamani ya custom_id ya custom_id_1234.

Ili uweke thamani ya custom_id kwenye kipengee cha Wavuti, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:WEB_CUSTOM_ID":

<VideoId>
      <!--- Sets the custom ID on the Web asset -->
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:WEB_CUSTOM_ID">web_video_id_1234</ProprietaryId>
</VideoId>

Ikiwa unatuma sasisho la kipengee kilichopo cha Wavuti, unaweza kutambua kipengee kulingana na kitambulisho cha kipengee ukitumia kihifadhi maalum cha majina cha “YOUTUBE:WEB_ASSET_ID”:

<VideoId>
      <!--- Identifies the Web asset to be updated by Asset ID -->
      <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:Web_ASSET_ID">A222222222222222</ProprietaryId>
</VideoId>

Ili uweke lebo za vipengee kwenye kipengee cha Wavuti, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:WEB_ASSET_LABEL":

<VideoId>
      <!--- Adds two asset labels to the Web asset →
      <ProprietaryId     
      Namespace="YOUTUBE:WEB_ASSET_LABEL">web_asset_label1</ProprietaryId>
      <ProprietaryId  
      Namespace="YOUTUBE:WEB_ASSET_LABEL">web_asset_label2</ProprietaryId>
</VideoId>

Ili ubainishe chaneli ambapo video inapaswa kupakiwa, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:CHANNEL_ID":

<VideoId>
     <!-- Specifies the channel to upload the video in  -->
     <ProprietaryId Namespace="YOUTUBE:CHANNEL_ID">MyChannel</ProprietaryId>
</VideoId>

Iwapo hakuna chaneli iliyobainishwa katika mipasho, basi video itapakiwa katika chaneli chaguomsingi iliyowekwa kwenye akaunti ya aliyepakia.

Ili usasishe video iliyopakiwa awali, unaweza kutumia kihifadhi maalum cha majina cha "YOUTUBE:VIDEO_ID":

<VideoId>
      <ProprietaryId  Namespace="YOUTUBE:VIDEO_ID">9bZkp7q19f0</ProprietaryId>
</VideoId>

Metadata ya video ya wavuti

Vipengele vifuatavyo kutoka kwenye lebo ya <Video> hutumiwa kujaza kiotomatiki video na metadata kwenye YouTube:

Video: Jina <VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    <Title TitleType="DisplayTitle">
        <TitleText>Sukari</TitleText>
    </Title>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>
Video: Lebo au Maneno Muhimu <VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    <Keywords>Keyword1</Keywords>
    <Keywords>Keyword2</Keywords>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>

 

Maelezo ya video yanajazwa kiotomatiki kutoka kwenye <Release>, wala si <Video>. Angalia sehemu ya Orodha ya Matoleo kwa maelezo zaidi.

Umiliki wa video ya wavuti

Umiliki wa Kipengee cha Wavuti hupatikana kwenye lebo ya <RightsController> chini ya kipengele cha <Video>. Kwa mujibu wa kiwango cha DDEX, lebo ya <RightsController> inaashiria unapomiliki haki za kipekee za video. Hii ni tofauti na Ofa zilizotolewa, lakini unapaswa tu kutoa ofa za Content ID katika maeneo ambako unamiliki haki za kipekee.

Umiliki wa Kipengee cha Wavuti hutumika kwa kutumia lebo ya <RightsController> chini ya kipengele cha <Video>. Ni sharti <PartyId> ilingane na ile ya lebo ya <MessageSender> (au lebo ya <SentOnBehalfOf>, ikiwa imewekwa).

Mfano wa XML ulio hapa chini unabainisha kuwa Kampuni ya Kurekodi Muziki ya ABC inamiliki Kipengee cha Wavuti nchini Afrika Kusini:

<ResourceList>
    <Video>
        [...]
        <ResourceReference>A1</ResourceReference>
        [...]
        <VideoDetailsByTerritory>
            <!--Specifies the territory/territories in which ownership should be applied -->
            <TerritoryCode>ZA</TerritoryCode>
            [...]
            <!-- This section sets the ownership of the Web asset. -->
            <RightsController>
                <PartyName>
                    <FullName>ABC Label</FullName>
                </PartyName>
                <PartyId>PADPIDAZZZZXXXXXXU</PartyId>
                <RightsControllerRole>RightsController</RightsControllerRole>
                <RightSharePercentage>100.00</RightSharePercentage>
            </RightsController>
        [...]
        </VideoDetailsByTerritory>
    [...]
    </Video>
</ResourceList>

Kuweka hadhira ya video yako 

Weka hadhira ya video yako

Regardless of your location, you’re legally required to comply with the Children’s Online Privacy Protection Act and/or other laws. You’re required to tell us that your videos are made for kids if you make kids content. 

Kuweka video kuwa zinalenga au hazilengi watoto

Ili upakie video isiyo Video ya Picha (yaani Video ya Muziki au Video ya Wavuti) kuwa inalenga watoto au hailengi watoto, tumia kipengele cha <AvRating> na MadeForKids au NotMadeForKids ukifuata muundo huu:

<VideoDetailsByTerritory>
    <TerritoryCode>Worldwide</TerritoryCode>
    [...]
        <AvRating>
            <RatingText>MadeForKids</RatingText>
            <RatingAgency Namespace="YOUTUBE">UserDefined</RatingAgency>
        </AvRating>
    [...]
</VideoDetailsByTerritory>

Sehemi hii ni lazima au si lazima ijazwe kulingana na kituo chaguomsingi ambacho umechagua kuwa kituo ambako video itakapikwa.

Kuweka alama kusiko kwa lazima kuwa maudhui yanalenga watoto 

Alama ya kubainisha kuwa maudhui yanalenga watoto si ya lazima iwapo chaguomsingi ya kituo ambako unapakia video yako imewekwa kuwa:
  • "Ndiyo, bainisha kuwa kituo hiki kinalenga watoto. Mimi hupakia maudhui ambayo yanalenga watoto." 
  • "Hapana, bainisha kituo hiki kuwa hakilengi watoto. Sipakii maudhui ambayo yanalenga watoto."
Note: We’ll also use machine learning to help us identify videos that are clearly directed to young audiences. We trust you to set your audience accurately, but we may override your audience setting choice in cases of error or abuse. However, do not rely on our systems to set your audience for you because our systems may not identify content that the FTC or other authorities consider to be made for kids. If you need help determining whether or not your content is made for kids, check out this Help Center article or consult legal counsel.

If you've already set your audience for your video and YouTube detects error or abuse, you will see your video marked as “Made for kids - Set by YouTube". You won't be able to change your audience setting. If you disagree, you can use the “Send Feedback” button.

Hatua ya lazima ya kuweka alama kubainisha kuwa maudhui yanalenga watoto 

Alama ya kubainisha kuwa maudhui yanalenga watoto ni ya lazima iwapo changuomsingi ya kituo unakopakia video yako imewekwa kuwa:
  • "Ningependa kukagua mipangilio hii kwa kila video." 
Note: We’ll also use machine learning to help us identify videos that are clearly directed to young audiences. We trust you to set your audience accurately, but we may override your audience setting choice in cases of error or abuse. However, do not rely on our systems to set your audience for you because our systems may not identify content that the FTC or other authorities consider to be made for kids. If you need help determining whether or not your content is made for kids, check out this Help Center article or consult legal counsel.

If you've already set your audience for your video and YouTube detects error or abuse, you will see your video marked as “Made for kids - Set by YouTube". You won't be able to change your audience setting. If you disagree, you can use the “Send Feedback” button.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
7173037907983839825
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false