Sera za ziada

Kuhimiza ukiukaji wa Sheria na Masharti

Iwapo utachapisha maudhui ambayo yatawahimiza watumiaji wengine wakiuke Sheria na Masharti yetu, maudhui hayo yanaweza kuondolewa, akaunti yako inaweza kuadhibiwa, na katika hali nyingine akaunti yako inaweza kufungwa.

Kuchapisha maudhui yaliyoondolewa hapo awali au maudhui ya watayarishi waliozuiwa au kusimamishwa

Uchapishaji wa maudhui yaliyoondolewa hapo awali kwa kukiuka Sheria na Masharti yetu, maudhui ya watayarishi ambao chaneli zao zimezuiwa kwa sasa au maudhui ya watayarishi ambao wamesimamishwa unachukuliwa kama ukwepaji wa Sheria na Masharti yetu.

Ukichapisha maudhui kama hayo, yanaweza kuondolewa na huenda chaneli yako ya YouTube ikaadhibiwa au kusimamishwa. Huenda hatua hii ikatumika pia kwenye chaneli zingine unazomiliki.

Umri unaohitajika kwenye bidhaa za Google

Tunaweza pia kukuomba uthibitishe umri wako iwapo tutafikiri kuwa hujafikisha umri wa kutumia YouTube. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mchakato huu hapa

 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
13865289143258781692
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false