Arifa

Our teams are currently experiencing high support volumes. Please expect longer than usual wait times for responses to questions from email, chat, and @TeamYouTube on Twitter

Creative Commons

Changes to video attributions: The view attributions page will be discontinued after September 2021 due to limited usage. You can still add attribution to your videos by updating your video description.

Leseni za Creative Commons huwapatia watayarishi wa maudhui njia ya kumpa mtu mwingine ruhusa ya kutumia kazi zao. YouTube inawaruhusu watayarishi kuonyesha alama ya leseni ya Creative Commons CC BY kwenye video zao.

Ikiwa umeonyesha alama ya leseni ya CC BY kwenye video yako, utaendelea kubaki na hakimiliki. Watayarishi wengine wanaweza kutumia video yako kulingana na masharti ya leseni.

 

Creative Commons kwenye YouTube

Uwezo wa kuonyesha alama ya leseni ya Creative Commons kwenye video zilizopakiwa unapatikana kwa watayarishi wote.

Leseni ya kawaida ya YouTube huendelea kuwa mipangilio chaguomsingi kwa video zote zilizopakiwa. Ili ukague sheria na masharti ya leseni ya kawaida ya YouTube, rejelea Sheria na Masharti yetu.

Leseni ya Creative Commons inaweza kutumika tu kwenye maudhui asili kwa asimilia 100. Ikiwa kuna dai la Content ID kwenye video yako, hutaweza kuonyesha alama ya leseni ya Creative Commons.

Kwa kuonyesha alama ya leseni ya Creative Commons kwenye video yako halisi, unaipa jumuiya nzima ya YouTube haki ya kutumia na kuhariri video hiyo.

Maudhui yanayotimiza vigezo vya leseni ya Creative Commons

Unaweza kuonyesha tu alama ya leseni ya Creative Commons kwenye video uliyopakia endapo maudhui yote kwenye video yako yanakidhi vigezo vya kupewa leseni ya CC BY. Mifano ya baadhi ya maudhui yanayoweza kupewa leseni:

  • Video zako halisi ulizotayarisha
  • Video nyinginezo zinazoonyesha alama ya leseni ya CC BY
  • Video zilizo wazi kutumiwa na umma

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
8165614843843667252
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false