Mimi si mshirika wa YouTube, kwa nini ninaona matangazo kwenye video zangu?

Matangazo yanaweza kuonekana kwenye video ulizopakia hata kama hujachuma mapato kutokana na video hizo.

Ikiwa video yako ina maudhui ambayo humiliki haki zote muhimu, mmiliki anaweza kuwa amechagua kuweka matangazo kwenye maudhui hayo. YouTube inaweza pia kuweka matangazo kwenye video katika vituo visivyo kwenye Mpango wa Washirika wa YouTube. Pata maelezo zaidi kwenye blogu yetu.

Kuwa mshirika na uchume mapato kutokana na utangazaji

Mpango wa Washirika wa YouTube unapatikana katika nchi au maeneo mengi, hivyo watayarishi wengi zaidi wanapata fursa kupata ugavi wa mapato kutokana na matangazo. Ili uone manufaa ya mpango huu, tembelea ukurasa wa muhtasari wa Mpango wa Washirika wa YouTube.. Unaweza pia kupata maelezo kuhusu jinsi ya kuwa mshirika na kuweka mipangilio kwenye kituo chako ili kuanza uchumaji wa mapato.

Matangazo hayafai kwenye video zangu

Ukiona tangazo ambalo unaamini linakiuka sera zetu za matangazo, jaza fomu hii ili kuripoti tangazo hilo. Pia, unaweza kuripoti tangazo linapocheza kwa kuchagua kitufe cha maelezo kilichopo chini.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
11823592399298292560
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false