Kwa nini akaunti yako ya AdSense ina uahirishaji wa malipo

Malipo yako yanaweza kuzuiwa kwa sababu zifuatazo:

Nenda kwenye: Kodi | Malipo | Kutii

Tax Kodi

Sababudo this Cha kuangaliado this Jinsi ya kuondoa
Hujawasilisha taarifa zako za kodi. Je, anwani yako ya malipo iko katika nchi ambayo Google inaweza kukuhitaji utoe taarifa fulani za kodi? Tuma taarifa zako za kodi kwenda Google.

payments Malipo

Sababudo this Cha kuangaliado this Jinsi ya kuondoa
Hujathibitisha utambulisho wako. Je, umewasilisha hati zinazohitajika kwenda Google?

Thibitisha utambulisho wako.

Hujathibitisha anwani yako. Je, umepokea nambari binafsi ya kuthibitisha (PIN) kwenye barua pepe? Weka PIN yako ili uthibitishe anwani yako ya malipo.
Bado hujaweka mipangilio ya njia ya malipo. Je, mapato yako yamefikia kima cha chini cha kuchagua njia ya malipo? Weka mipangilio ya njia yako ya malipo.
Hujaondoa hali ya kusimamisha malipo kwa muda. Je, umechagua kusimamisha malipo yako ya AdSense? Ondoa hali ya kusimamisha malipo kwa muda ili uanze kupokea malipo tena.
Kumbuka: Unaweza pia kupata uahirishaji wa malipo kutokana na baadhi ya matatizo mengine yanayohusiana na malipo. Ikiwa malipo yako yamesimamishwa, utaona arifa kwenye ukurasa wako wa Malipo. Bofya arifa ili kujua hatua unazohitaji kuchukua ili kuondoa hali ya kusimamishwa na ustahiki wa malipo.

policy Kutii

Sababudo this Cha kuangaliado this Jinsi ya kuondoa
Una tozo la muda la uthibitisho kwenye akaunti yako

Unahitaji kutoa maelezo fulani kwa timu yetu ya Malipo ili kuthibitisha utambulisho wako, kabla ya malipo yako kufanywa.

Je, kuna arifa kwenye kituo cha malipo ya Google?

Je, umepokea ombi kutoka katika timu ya Google Payments ikikuomba kuthibitisha taarifa zako binafsi?

Nenda kwenye kituo cha malipo ya Google na ufuate hatua zilizo katika sehemu ya arifa.
Akaunti yako kwa sasa inakaguliwa ili kuona kama inatii sera za mpango wa AdSense.

Akaunti zote hufuatiliwa ili kubaini ikiwa zinatii sera na shughuli isiyo sahihi. Wakati mwingine, akaunti yako inapokuwa ikifanyiwa uchunguzi, malipo yako yatasimamishwa kwa muda.

Je, kuna arifa kwenye ukurasa wako wa Malipo? Huhitaji kuchukua hatua. Hali hii ya kusimamishwa itaondolewa kiotomatiki mwishoni mwa uchunguzi ikiwa akaunti yako inatii sera na utazamaji wako ni halali.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
8387404893844912329
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false