Upeo wa malipo

Tunakuletea toleo jipya la beta linaloleta maelezo ya malipo kwenye kichupo cha 'Chuma mapato' cha programu ya vifaa vya mkononi ya Studio ya YouTube. Toleo hili la beta litawapatia watayarishi wanaostahiki mbinu rahisi ya kuelewa jinsi mapato yao yanavyobadilika kuwa malipo. Kwa kutumia toleo hili la beta, unaweza kuangalia:
  • Hatua ulizopiga kuelekea malipo yako yanayofuata
  • Historia yako ya malipo ya miezi 12 iliyopita ikijumuisha tarehe, kiasi ulicholipa na uainishaji wa malipo
Pata maelezo zaidi kwenye chapisho letu la jukwaa .

Kuna aina kadhaa za upeo wa mapato zinazoathiri iwapo unatimiza masharti ya kulipwa kwa ajili ya mapato yako ya AdSense. Aina hizi za upeo hutofautiana kulingana na sarafu ya kuripoti kwenye akaunti yako. Huenda ukahitajika kuchukua hatua unapofikisha upeo fulani. Kwa maelezo zaidi kuhusu upeo, soma maelezo na uangalie jedwali lililo hapo chini.

Examples of revenue thresholds with five steps.

1. Upeo wa taarifa za kodi

Kwa kutegemea mahali ulipo, huenda ukahitajika kutoa taarifa fulani kwa madhumuni ya kodi. Ikiwa unahitajika kuwasilisha taarifa za kodi, utaweza kufanya hivyo ukiingia katika akaunti yako kwa mara ya kwanza. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuwasilisha taarifa zako za kodi kwa Google.

2. Kima cha chini cha kuthibitishwa

Mapato yako yakifikisha kima cha chini cha kuthibitishwa, unahitaji:

Note: If you have separate payments accounts for AdSense and YouTube, you verify your information when either of your payments accounts reaches the verification threshold. You only need to verify your information once.

3. Upeo wa kuchagua njia ya kulipa

Kulingana na Sheria na Masharti yetu, akaunti zinazotumika ni lazima zifikishe upeo wa malipo ili ziweze kupokea malipo. Kwa vile hatutoi malipo yoyote kwa viwango vilivyo chini ya upeo huu, haturuhusu wachapishaji wachague njia ya kulipa hadi salio lao la sasa litakapofikisha upeo wa njia ya kulipa. Kwa maelezo zaidi, angalia mwongozo wa malipo.

Note: If you have separate payments accounts for AdSense and YouTube, you select a form of payment for each payments account when it reaches the threshold.

4. Upeo wa malipo

Utapata malipo salio la mapato yako likifikisha upeo wa malipo, mradi huna malipo yoyote yaliyoahirishwa kwenye akaunti yako na unatii Sera zetu za mpango. Kwa maelezo zaidi kuhusu wakati utakapolipwa, angalia vipindi vya malipo.

Note: If you have separate payments accounts for AdSense and YouTube, each payments account needs to reach the payment threshold to be paid out.

5. Upeo wa kughairi

Ukiamua kughairi akaunti yako ya AdSense na salio la akaunti yako linazidi upeo wa kughairi, utapokea malipo yako ya mwisho ndani ya takriban siku 90 kutoka mwisho wa mwezi, mradi uwe umekamilisha hatua zinazohitajika ili ulipwe.

Thamani za upeo kwa kila sarafu na kila akaunti ya malipo

Kila akaunti ya malipo ndani ya akaunti yako ya AdSense (k.m., akaunti ya malipo ya YouTube) ina upeo wake. Thamani za upeo zilizo hapo chini zinatumika kando kando kwa kila akaunti yako ya malipo.

Thresholds Tax information Verification Payment method Payment Cancelation
U.S. Dollar (USD) $0 $10 $10 $100 $10
Australian Dollar (AUD) N/A $10 equivalent A$15 A$100 A$15
Canadian Dollar (CAD) C$0 $10 equivalent C$10 C$100 C$10
Chilean peso (CLP) N/A $10 equivalent CLP$6000 CLP$60000 CLP$6000
Czech Koruna (CZK) N/A $10 equivalent Kč200 Kč2000 Kč200
Danish Krone (DKK) N/A $10 equivalent kr60 kr600 kr60
Euro (EUR) N/A $10 equivalent €10 €70 €10
Great British Pound (GBP) N/A $10 equivalent £10 £60 £10
Hong Kong Dollar (HKD) N/A $10 equivalent HK$100 HK$800 HK$100
Hungarian Forint (HUF) N/A $10 equivalent Ft2,000 Ft20,000 Ft2,000
Indonesian rupiah (IDR) N/A $10 equivalent Rp130000 Rp1300000 Rp130000
Israeli Shekel (ILS) N/A $10 equivalent ₪40 ₪400 ₪40
Japanese Yen (JPY) N/A $10 equivalent ¥1000 ¥8000 ¥1000
Jordanian dinar (JOD) N/A $10 equivalent دينار‎;7 دينار‎;70 دينار‎;7
Mexican Peso (MXN) Mex$0 $10 equivalent Mex$120 Mex$1,200 Mex$120
Moroccan dirham (MAD) N/A $10 equivalent .د.م80 .د.م800 .د.م80
New Zealand Dollar (NZD) N/A $10 equivalent $15 $130 $15
Norwegian Krone (NOK) N/A $10 equivalent kr60 kr600 kr60
Peruvian sol (PEN) N/A $10 equivalent S/30 S/300 S/30
Polish Zloty (PLN) N/A $10 equivalent zł30 zł300 zł30
Singapore Dollar (SGD) N/A $10 equivalent S$15 S$150 S$15
South African Rand (ZAR) N/A $10 equivalent R100 R1000 R100
Swedish Krona (SEK) N/A $10 equivalent kr70 kr700 kr70
Swiss Franc (CHF) N/A $10 equivalent Fr10 Fr100 Fr10
Tunisian dinar (TND) N/A $10 equivalent د.ت,20 د.ت,200 د.ت,20
Turkish Lira (TRY) N/A $10 equivalent ₺20 ₺200 ₺20
United Arab Emirates dirham (AED) N/A $10 equivalent د.إ35 د.إ350 د.إ35
Uruguayan peso (UYU) N/A $10 equivalent $U240 $U2400 $U240

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
1093206901026510548
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false