Kuhusu washirika wetu wengine

YouTube hufanya kazi na washirika wengine wengi ili kutoa huduma na usaidizi unaohusiana kwa Watayarishi walio kwenyeMpango wa Washirika wa YouTube.

Muhimu: Kila wakati kagua kwa umakini utambulisho wa watu au asasi zinazodai kutenda kwa niaba ya YouTube Unaweza kufanya hivyo kwa kuwaomba wakutumie barua pepe ili uthibitishe utambulisho wao. Kila wakati wawakilishi wa YouTube huwa na anwani ya barua pepe inayoisha kwa @google.com.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya mashirika tunayoshirikiana nayo:

  • Accenture
  • Cognizant
  • Concentrix
  • Tech Mahindra
  • Teleperformance

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
3755822791931604325
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false