Data and performance measurement tools on YouTube

Fikia takwimu zako ili upime utendaji wa maudhui yako ukitumia zana ambazo ni muhimu zaidi kwa watayarishi na wamiliki wa maudhui. Pata maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kutumia data kupima utendaji kwa kutumia takwimu kwenye YouTube.

Kufikia takwimu zako

Kumbuka: Ikiwa una akaunti nyingi, hakikisha umeingia katika akaunti unayotaka kudhibiti.

  1. Ingia katika akaunti ya Studio ya YouTube.
  2. Kwenye menyu ya kushoto, bofya Takwimu.

Data ya Watayarishi

Data ya Wamiliki wa Maudhui

API za Takwimu za YouTube

API za Takwimu za YouTube na API ya Kuripoti ya YouTube hutoa ufikiaji wa data ya Takwimu za YouTube. Elewa ufananaji na tofauti ili uchague API sahihi ya programu yako. Pata maelezo zaidi

  • API ya Takwimu za YouTube: API ya Takwimu za YouTube hutumia hoja zilizolengwa za muda halisi ili kuzalisha ripoti maalum za Takwimu za YouTube. Pata maelezo zaidi
  • API ya Kuripoti ya YouTube: API ya Kuripoti ya YouTube hurejesha ripoti nyingi zinazojumuisha data ya Takwimu za YouTube ya chaneli au mmiliki wa maudhui. Pata maelezo zaidi.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
12321635966996988810
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false