Kurejesha pesa ulizonunua Vituo vya Primetime

Pata maelezo zaidi kuhusu sera za kurejesha pesa na uombe kurejeshewa pesa za Vituo vya Primetime ulivyonunua kupitia akaunti yako.

Tuma ombi la kurejeshewa pesa

Sera za kurejesha pesa za vituo vya Primetime

  • Unaweza kughairi kituo cha Primetime wakati wowote. Ukighairi uanachama wako, utaendelea kuufikia hadi mwisho wa kipindi chako cha bili.
  • Kwa kawaida, maombi ya kurejeshewa pesa kwenye kadi za mikopo huchukua siku 3 hadi 5 za kazi, lakini inaweza kuchukua hadi siku 10 za kazi kulingana na kampuni iliyotoa kadi.
  • Ununuzi wa YouTube unaofanywa kwenye YouTube katika programu ya YouTube Android utatozwa kupitia Google Play. Nenda kwenye payments.google.com ili upate maelezo kuhusu ada mpya na uelewe jinsi unavyotozwa.
  • Iwapo umejisajili kupitia Apple, utahitaji kuwasiliana na timu ya usaidizi ya Apple ili uombe kurejeshewa pesa za vituo vya Primetime. Sera ya Apple ya kurejesha pesa itatumika.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
12754360095374645039
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false