Malipo ya Super Chat, Super Stickers, Shukrani Moto na Uhisani wa YouTube ni ya hiari na huwezi kurejeshewa pesa.
Ukigundua utozaji ambao haujaidhinishwa wa Super Chat, Super Stickers, Shukrani Moto au Uhisani wa YouTube kwenye akaunti yako, unaweza kuripoti utozaji huo ambao haujauidhinisha.
Kurejeshewa pesa za Marupurupu Yanayotolewa na Mtayarishi kwenye YouTube