Arifa

If you’re reaching out about an error message or a blank screen in your Channel Analytics in YouTube Studio, we are aware and working on a fix. You can follow along here for updates. Our teams are currently experiencing high support volumes. Please expect longer than usual wait times for responses to questions from email, chat, and @TeamYouTube on Twitter. 

Kuipa YouTube haki na leseni ya maudhui yako

Ikiwa ungependa kudhibiti maudhui yako au haki zinazohusiana kwenye YouTube, angalia muhtasari wetu wa zana za usimamizi wa hakimiliki zinazotolewa na YouTube.

Ili uondoe maudhui ambayo unaamini yamepakiwa bila ruhusa yako na kuwa yanakiuka hakimiliki yako au haki nyingine zinazohusiana, unaweza wasilisha ombi la kuondoa video kwa kukiuka hakimiliki.

Ikiwa, badala ya kuomba kuondolewa kwa maudhui, ungependa kugundua iwapo unaweza kuipa YouTube leseni ya hakimiliki yako na haki zingine zinazohusiana, njia rahisi kabisa inaweza kuwa kufungua chaneli yako mwenyewe ya YouTube na upakie maudhui yako mwenyewe. Pata maelezo zaidi na upokee usaidizi kama Mtayarishi wa YouTube

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15049098449257126458
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false