Imeshindwa kufikia YouTube kwa kutumia akaunti yako

Ukiona ujumbe ufuatao, inamaanisha msimamizi wa kikoa chako cha Google Workspace bado hajaruhusu utumiaji wa YouTube:

Samahani, huwezi kufikia YouTube ukitumia Akaunti yako ya Google. Msimamizi wako amezuia ufikiaji.

Jinsi ya kuongeza YouTube kama huduma

Msimamizi wa kikoa chako pekee ndiye anayeweza kuruhusu utumiaji wa YouTube kwenye kikoa chako. Mjulishe msimamizi wa kikoa kuwa ungependa aongeze YouTube kama huduma.

Ikiwa wewe ndiye msimamizi wa kikoa, fahamu jinsi ya kuongeza huduma kwenye kikoa chako cha Google Workspace.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15970082642441658026
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false