Kuangalia na kununua programu zako

Kuangalia programu zako kwenye Google Play

Programu zinazolipishwa zinapatikana tu katika nchi zilizo na wanunuzi wa programu. Ikiwa huishi katika nchi iliyo na wanunuzi wa programu, hutaweza kuona programu zinazolipishwa. Kumbuka, pia, kwamba unaweza kuona toleo la Google Play la nchi yako pekee. Kwa mfano, wasanidi programu wa nchini Uingereza wanaweza kuangalia toleo la Uingereza la Google Play pekee kwenye vifaa vyao (kutegemea na uoanifu wa kifaa na vichujio vingine).

Kununua programu zako

Unaweza kununua programu zako, bidhaa ya ndani ya programu na usajili unapofanya jaribio la ununuzi. Ili upate maelezo kuhusu jinsi ya kuandaa jaribio ili uweze kujaribu utoaji wa leseni kwenye programu yako kabla ya kuichapisha, tembelea tovuti ya Wasanidi Programu wa Android.  

Pia, ikiwa una programu zilizo na usajili au bidhaa za ndani ya programu, unaweza kutumia utoaji wa leseni ya programu ili uweke orodha ya Akaunti za Google ambazo zinaweza kujaribu ujumuishaji wa usajili na kutozwa kupitia Google Play. 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
17561190371358415474
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false