Ruhusa za programu za kamari katika nchi au eneo

Programu za kamari huruhusiwa katika nchi au maeneo yaliyoorodheshwa hapa chini zikiwa na masharti yaliyobainishwa:

Australia

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Kamari ya Michezo (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa)
  • Bahati nasibu

Austria

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Ubelgiji

Brazili

  • Kamari ya Michezo (Mashindano ya farasi pekee)
  • Bahati nasibu (tunaruhusu tu programu zilizoidhinishwa ambazo zilichapishwa na Caixa Economica Federal)

Bulgaria

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa kisheria)
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu

Kanada

Programu za kamari katika mikoa yote ya Kanada (isipokuwa Ontario) zinategemea masharti yafuatayo:

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni (wahudumu wa serikali pekee)
  • Kamari ya Michezo (wahudumu wa serikali pekee)
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)
 
Programu za kamari katika mkoa wa Ontario zinategemea masharti yafuatayo:

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Kolombia

Korasia

Jamhuri ya Zechia

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu

Denmaki

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa kisheria)
  • Bahati nasibu

Uhabeshi

Ufini

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni (wahudumu wa serikali pekee)
  • Kamari ya Michezo (wahudumu wa serikali pekee)
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Ufaransa

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Ujerumani

  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali au waliopewa kandarasi pekee)

Ghana

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Bahati nasibu

Ugiriki

Hangaria

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa kisheria)

Ayalandi

  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali na watoa misaada pekee)

Japani

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Kamari ya Michezo (mashindano ya farasi, mashua, baiskeli, baiskeli za gia za kiotomatiki na bahati nasibu za kandanda, yanayohusisha wahudumu wa serikali pekee)
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Kenya

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu

Meksiko

Uholanzi

Nyuzilandi

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Kamari ya Michezo (wahudumu wa serikali pekee)
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Naijeria

  • Bahati nasibu (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa)

Norwe

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo (wahudumu wa serikali pekee)
  • Bahati nasibu

Panama

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa kisheria)
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu

Ureno

  • Bahati nasibu (tunaruhusu tu programu zilizoidhinishwa ambazo zilichapishwa na Santa Casa da Misericórdia de Lisboa)

Romania

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Serbia

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa kisheria)
  • Bahati nasibu (wahudumu wa serikali pekee)

Slovakia

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo za bidhaa za kamari zinaruhusiwa:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo (ikiwa ni pamoja na Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku, panaporuhusiwa kisheria)
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu

Uhispania

Uswidi

Uswizi

Tanzania

Uturuki

Uingereza

Marekani

Muhtasari Maelezo
Zinazoruhusiwa na masharti

Kwa kutegemea masharti ya programu na leseni katika sehemu hii ya "Programu za Kamari", programu zilizo na aina zifuatazo na bidhaa za kamari zinaruhusiwa katika majimbo fulani ambako ni halali na zimepewa leseni ipasavyo:

  • Michezo ya Kasino ya Mtandaoni
  • Kamari ya Michezo
  • Mashindano ya Farasi (ambayo yanadhibitiwa na kupewa leseni kando na Kamari ya Michezo)
  • Bahati nasibu

Tafadhali kumbuka kuwa iwapo jimbo au bidhaa ya kamari katika jimbo haipatikani kwenye fomu ya kutuma ombi, basi Google Play hairuhusu usambazaji kwa wakati huu.

Kwa kutegemea jimbo, huenda michezo ya kidhahania ya kila siku ikadhibitiwa kama kamari nchini Marekani na programu zote za michezo ya kidhahania ya kila siku iliyochapishwa nchini Marekani inategemea masharti ya Programu za Michezo ya Kidhahania ya Kila Siku (DFS) yaliyo hapa chini.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

true
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15848078118725915349
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false