Ili upate usaidizi kuhusu usanidi wa programu za Android, tembelea tovuti ya Wasanidi Programu wa Android ili upate hati za kiufundi, SDK ya Android (zana za usanidi wa programu) na vidokezo kuhusu kusambaza programu zako.
Ikiwa wewe ni msanidi programu, tembelea tovuti ya Hati za huduma za michezo ya Google Play.
Kupakua programu na kutumia Google Play
Ikiwa wewe au watumiaji wako wanatatizika kupakua programu kwenye Google Play, tembelea Kituo cha Usaidizi cha Google Play ili upate maelezo kuhusu utatuzi au uwasiliane na usaidizi kwa wateja.
Unaweza pia kusoma viungo hivi muhimu:
- Pata maelezo kuhusu mambo ya msingi
- Matatizo wakati wa kupakua michezo na programu
- Kusakinisha upya programu na michezo
Rasilimali za wasanidi programu
lfuatayo ni miongozo muhimu ambayo kila msanidi programu anapaswa kufahamu:
Muundo Sanidi Sambaza