Pata Usaidizi kwa Wasanidi Programu

Google Play inalenga kuwezesha wasanidi programu kwa kuwapa zana na nyenzo zinazowasaidia kuimarika. Iwapo wewe ni msanidi programu na unapata matatizo kwenye Google Play au kwenye uwezo wa kufikia huduma za Google Play, tafadhali tufahamishe. Unaweza kuripoti matatizo haya kwetu kwa kutumia maagizo yaliyo hapa chini:

  • Kwa matatizo kuhusu hatua ya utekelezaji ambayo tumechukua dhidi ya programu au Akaunti yako ya Msanidi Programu, unaweza kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo kwa kufuata maagizo tuliyokutumia kupitia barua pepe ya kukufahamisha hatua tuliyochukua. Hii ni njia rahisi na ya haraka zaidi ya kuwasiliana nasi. Pia, unaweza kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo hapa. Ili upate maelezo zaidi kuhusu kukata rufaa dhidi ya hatua tuliyotekeleza, bofya hapa.
     
  • Kwa masuala yote mengine, tafadhali tumia fomu yetu ya mtandaoni

Timu zetu zitakagua na kuchakata ombi ulilotuma pindi litakapopokelewa. Matatizo magumu zaidi yanaweza kuchukua muda mrefu kusuluhishwa.  Tafadhali usitume maombi yanayofanana, kwa kuwa hilo linaweza kuchelewesha kuchakata ombi lako la kwanza.


 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
14582488770100983548
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false