Maeneo inakopatikana
Kwa sasa programu ya YouTube Music inapatikana katika maeneo yafuatayo.
Aljeria | Lebanoni |
Samoa ya Marekani | Libya |
Ajentina | Lishenteni |
Aruba | Litwania |
Australia | Lasembagi |
Austria | Malesia |
Azabajani | Malta |
Bahareni | Meksiko |
Bangladeshi | Moroko |
Belarusi | Nepali |
Ubelgiji | Uholanzi |
Bermuda | Nyuzilandi |
Bolivia | Nikaragwa |
Bosnia na Hezegovina | Nigeria |
Brazili | Masedonia Kaskazini |
Bulgaria | Visiwa vya Mariana Kaskazini |
Kambodia | Norwe |
Kanada | Omani |
Visiwa vya Cayman |
Pakistani |
Chile | Panama |
Kolombia | Papua |
Kostarika | Paragwai |
Korasia | Peru |
Kuprosi | Filipino |
Jamhuri ya Zechia | Polandi |
Denmaki | Ureno |
Jamhuri ya Dominika | Pwetoriko |
Ekwado | Katari |
Misri | Riyunioni |
Elsavado | Romania |
Estonia | Urusi - haipatikani kwa muda |
Ufini | Saudia |
Ufaransa | Senegali |
Guyana ya Ufaransa | Serbia |
Polinesia ya Ufaransa | Singapoo |
Jojia | Slovakia |
Ujerumani | Slovenia |
Ghana | Afrika Kusini |
Ugiriki | Korea Kusini - Uanachama unaolipiwa pekee |
Guadalupe | Uhispania |
Guam | Sirilanka |
Gwatemala | Uswidi |
Hondurasi | Uswizi |
Hong Kong | Taiwani |
Hangaria | Tanzania |
Aisilandi | Tailandi |
India | Tunisia |
Indonesia | Uturuki |
Iraki | Visiwa vya Turks na Caicos |
Ayalandi | Visiwa vya Virgin vya Marekani |
Israeli | Uganda |
Italia | Ukraini |
Jamaika | Muungano wa Falme za Kiarabu |
Japani | Uingereza |
Jordan | Marekani |
Kazakistani | Urugwai |
Kenya | Venezuela |
Kuwaiti | Vietinamu |
Laosi | Yemeni |
Lativia | Zimbabwe |
Masharti ya mfumo
Unaweza kutumia YouTube Music kwenye kompyuta na kifaa chako cha mkononi.