Unaweza kufikia YouTube Kids kwenye wavuti katika kompyuta yako.
Masharti ya kivinjari kwa watumiaji ambao wameingia katika akaunti:
- Chrome 50+
- Firefox 44+
- Edge 14+
Masharti ya kivinjari kwa watumiaji ambao wameondoka katika akaunti:
- Chrome 50+
- Firefox 44+
- Edge 14+
- Safari 9+
Maeneo ambako YouTube Kids inapatikana kwenye wavuti
Aljeria, Samoa ya Marekani, Ajentina, Aruba, Australia, Austria, Azabajani, Bahareni, Bangladeshi, Belarusi, Ubelgiji, Bamuda, Bolivia, Bosnia, Brazili, Bulgaria, Kanada, Visiwa vya Cayman, Chile, Kolombia, Kostarika, Korasia, Saiprasi, Jamhuri ya Cheki, Denmaki, Jamhuri ya Dominika, Ekwado, Misri, Elsalvado, Estonia, Ufini, Ufaransa, Guyana ya Ufaransa, Polinesia ya Ufaransa, Ujerumani, Ugiriki, Ghana, Jojia, Guami, Guadalupe, Gwatemala, Hondurasi, Hong Kong, Hungaria, Aisilandi, India, Indonesia, Iraki, Ayalandi, Israeli, Italia, Jamaika, Japani, Yordani, Kazakistani, Kenya, Kuwait, Lativia, Lebanoni, Libya, Litwania, Lishensteni, Lasembagi, Malesia, Malta, Meksiko, Montenegro, Moroko, Nepali, Uholanzi, Nyuzilandi, Naijeria, Nikaragwa, Visiwa vya Mariana Kaskazini, Masedonia Kaskazini, Norwe, Oman, Pakistani, Panama, Papua, Paragwai, Peruu, Ufilipino, Polandi, Ureno, Katari, Romania, Urusi, Samarino, Saudia, Senegali, Serbia, Singapoo, Slovakia, Slovenia, Afrika Kusini, Korea Kusini, Sirilanka, Uhispania, Uswidi, Uswizi, Taiwani, Tanzania, Tailandi, Tunisia, Uturuki, Visiwa vya Turks na Caicos, Uganda, Ukraini, Falme za Kiarabu, Uingereza, Marekani, Urugwai, Visiwa vya Virgin vya Marekani, Jiji la Vatikani, Venezuela, Vietinamu, Yemeni, Zimbabwe
Tunajitahidi kusambaza programu ya YouTube Kids kwenye wavuti katika nchi nyingine.