Aina za faili zinazoruhusiwa kwenye YouTube

Kumbuka: Huwezi kupakia faili za sauti kama vile MP3, WAV au PCM ili kutayarisha Video ya YouTube. Unaweza kutumia programu ya kuhariri video ili kugeuza faili yako ya sauti iwe video. Faili za sauti zinaweza tu kupakiwa kama lugha za ziada za video yako.

Huenda usiwe na uhakika ni muundo upi utumie kuhifadhi video yako au unaweza kupata ujumbe kuhusu hitilafu unaosema "aina ya faili si sahihi" unapopakia. Ikiwa hivyo, hakikisha kuwa unatumia mojawapo ya miundo hii:

  • .MOV
  • .MPEG-1
  • .MPEG-2
  • .MPEG4
  • .MP4
  • .MPG
  • .AVI
  • .WMV
  • .MPEGPS
  • .FLV
  • 3GPP
  • WebM
  • DNxHR
  • ProRes
  • CineForm
  • HEVC (h265)

Iwapo unatumia aina ya faili ambayo haijaorodheshwa hapo juu, tumia kitatuzi hiki kupata maelezo kuhusu jinsi ya kugeuza faili yako.

Ili upate maelezo ya kina zaidi kuhusu aina za faili, unaweza kusoma makala haya kuhusu mipangilio ya usimbaji.

Kuchagua aina ya faili ambayo ungependa kugeuza

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
false
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
7330912287708113070
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false