Kutazama YouTube kwenye televisheni inayoweza kuunganisha kwenye intaneti na vifaa vya kutiririsha
- Kupakua programu ya YouTube katika kifaa cha michezo ya video au TV yako inayotumia intaneti.
- Kuingia katika programu ya YouTube kwenye kifaa cha michezo ya video au TV yako inayotumia intaneti
- Kuondoka katika akaunti au kuondoa akaunti katika ya YouTube kwenye TV au kifaa chako cha michezo ya video
- Kutazama YouTube kwenye TV yako inayotumia intaneti kwa kuunganisha na vifaa vyako
- Kuvinjari programu ya YouTube kwenye televisheni yako
- Kudhibiti YouTube kwenye TV kwa kutumia Amazon Alexa
- Kudhibiti YouTube kwenye TV kwa kutumia Programu ya Mratibu wa Google