Jiunge na YouTube Premium
Tunatoa aina kadhaa za uanachama wa YouTube unaolipiwa ili kukusaidia kuboresha hali yako ya utumiaji kwenye YouTube. Bofya viungo vilivyo hapa chini ili upate maelezo zaidi kuhusu huduma zetu za uanachama unaolipiwa.
- Kujisajili kwenye uanachama wa YouTube Premium au YouTube Music Premium
- Pata mpango wa wanafunzi wa YouTube Premium
- Kujisajili kwenye mpango wa mwaka wa YouTube Premium au YouTube Music Premium
- Kuweka mpango wa familia wa YouTube Premium au YouTube Music Premium
- Premium memberships available locations
- Pata maelezo kuhusu majaribio na ofa za YouTube Premium
- Rekebisha hitilafu za kujisajili kwenye YouTube Premium na YouTube Music Premium