Huenda aliyepakia video amezima chaguo la kupachika kwenye baadhi ya video katika orodha ya kucheza, au video imewekewa mipaka ya umri. Video za faragha pia hazitacheza kwenye orodha yako ya kucheza isipokuwa aliyezipakia awe amezishiriki nawe. Kwa matokeo bora, hakikisha kuwa maudhui ambayo umejumuisha yana video za umma pekee ambako chaguo la kupachika limewashwa.
Video hazionekani katika orodha ya kucheza iliyopachikwa
Je, maelezo haya yamekufaa?
Tunawezaje kuboresha?