Weka video katika foleni kwenye YouTube

Tumia kipengele cha kuweka video katika foleni ili uweke mipangilio ya video zitakazocheza baada ya video unayotazama bila kukatiza kipindi chako cha sasa cha kutazama. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuweka video katika foleni kwenye kompyuta ya mezani au wavuti au ujiunge na YouTube Premium ili utumie kipengele hiki katika vifaa vyako vya mkononi na vishikwambi.

Fuatilia chaneli ya Watazamaji wa YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

Ili uweke video katika foleni kwenye vifaa vya mkononi na vishikwambi, unahitaji uanachama wa YouTube Premium. Pata maelezo zaidi kuhusu manufaa ya YouTube Premium au ujiunge na YouTube Premium.

How to queue videos on your mobile device

Ili uweke video kwenye foleni yako katika kifaa cha Android:

  1. Ingia katika akaunti yako ya YouTube Premium.
  2. Tafuta video ambayo ungependa kuweka kwenye foleni yako.
  3. Gusa Zaidi karibu na jina la video.
  4. Chagua Cheza baada ya video hii kwenye foleni "'" au Cheza ya mwisho kwenye foleni .

Ili uhifadhi foleni yako kwenye orodha:

Kuhifadhi foleni yako kwenye orodha katika Programu ya YouTube ya vifaa vya mkononi

  1. Fungua foleni yako.
  2. Gusa Zaidi kisha chagua Hifadhi kwenye orodha.
  3. Chagua orodha iliyopo kama vile Tazama Baadaye, orodha ambayo tayari umetayarisha au uguse Orodha mpya.
  4. Iwapo unatayarisha orodha mpya, weka jina kisha uchague mipangilio ya faragha ya orodha yako kwenye menyu kunjuzi ya Uonekanaji kisha gusa Tayarisha.
    Kumbuka: Ikiwa ni ya faragha, ni wewe tu unayeweza kuona orodha hiyo.
  5. Ujumbe utaibuka katika sehemu ya chini ya skrini yako ukithibitisha orodha ambako foleni imewekwa.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
1373259002809285961
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false