Weka video katika foleni kwenye YouTube

Tumia kipengele cha kuweka video katika foleni ili uweke mipangilio ya video zitakazocheza baada ya video unayotazama bila kukatiza kipindi chako cha sasa cha kutazama. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuweka video katika foleni kwenye kompyuta ya mezani/wavuti au jiunge na YouTube Premium ili utumie kipengele hiki kwenye kompyuta kibao na vifaa vyako vya mkononi.

Jinsi ya kuongeza video kwenye foleni katika kompyuta yako

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

 

Ili uweke video kwenye foleni katika kompyuta yako, unaweza:

  1. Kupata video ambayo ungependa kuiweka kwenye foleni yako.
  2. Bofya Zaidi '' karibu na jina la video.
  3. Chagua Weka kwenye foleni.

Au, unaweza:

  1. Kupata video ambayo ungependa kuiweka kwenye foleni yako.
  2. Elea juu ya video.
  3. Chagua Weka kwenye foleni .
Kumbuka: Foleni yako haitahifadhiwa ukishafunga kivinjari chako. Iwapo ungependa kuendelea kutazama baadaye, tunapendekeza uhifadhi video kwenye Orodha yako ya kucheza ya Tazama Baadaye.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
278961892108527384
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false