Dhibiti njia zako za kulipa

Unaweza kubadilisha, kufuta na kuweka njia mbadala ya kulipa ili kuhakikisha kuwa uanachama wako unaendelea kutumika. Hakikisha unatumia njia ya kulipa inayokubaliwa.

Ikiwa ulijisajili kwenye uanachama unaolipiwa wa YouTube kupitia Apple, utatakiwa kusasisha maelezo yako ya malipo na Apple. Fuata hatua hapa ili ubadilishe, uweke au uondoe njia ya kulipa na Apple.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16309512142676653708
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false