Unaweza kubadilisha, kufuta na kuweka njia mbadala ya kulipa ili kuhakikisha kuwa uanachama wako unaendelea kutumika. Hakikisha unatumia njia ya kulipa inayokubaliwa.
Badilisha njia yako chaguomsingi ya kulipa
- Gusa picha yako ya wasifu
Ununuzi na uanachama.
- Gusa uanachama wako.
- Gusa BADILISHA kando ya njia yako ya kulipa iliyopo.
- Gusa kishale cha chini
kando ya njia yako ya kulipa.
- Chagua njia yako nyingine ya kulipa au Weka kadi ya malipo au mkopo.
- Weka nambari yako ya kadi (panapohitajika).
- Gusa TUMA.
Futa njia ya kulipa
Ili kufuta njia ya kulipa, nenda kwenye Google Pay kisha ubofye Ondoa kwa njia ya kulipa ambayo ungependa kufuta.
Weka njia mbadala ya kulipa
- Gusa picha yako ya wasifu
Ununuzi na uanachama.
- Gusa uanachama wako.
- Gusa BADILISHA kando ya "Njia mbadala ya kulipa".
- Weka nambari ya kadi yako.
- Gusa TUMA.