Kuzima matangazo yaliyowekewa mapendeleo

Watayarishi wanaoshiriki katika Mpango wa Washirika wa YouTube wana chaguo la kuzima matangazo yaliyowekewa mapendeleo. Ikiwa unapanga kuzima matangazo yaliyowekewa mapendeleo, tunapendekeza uyazime katika Studio ya YouTube wala si kwenye akaunti yako ya AdSense katika YouTube.

  1. Ingia katika akaunti ya Studio ya YouTube.
    • Kumbuka: Matangazo yaliyowekewa mapendeleo huzimwa kiotomatiki kwenye maudhui yoyote yaliyobainishwa kuwa yanalenga watoto.
  2. Bofya Mipangilio.
  3. Bofya Chaneli.
  4. Bofya Mipangilio ya kina.
  5. Nenda katika sehemu ya chini Matangazo.
  6. Teua kisanduku cha Zima matangazo kulingana na mambo yaliyotafutwa.
    • Ukiteua chaguo hili, matangazo yaliyowekewa mapendeleo hayataonyeshwa kwenye video katika chaneli yako, kama vile matangazo yanayotokana na mambo yanayomvutia mtazamaji au matangazo ya uuzaji upya. [Matangazo ambayo hayajawekewa mapendeleo yataendelea kuonyeshwa.] Tafadhali kumbuka kwamba mabadiliko haya yanaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa mapato ya chaneli yako. Isitoshe, ripoti za vitendo vilivyopatwa na orodha za kutangaza tena zitaacha kufanya kazi kwenye chaneli yako.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
9593298055617802494
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false