Tafuta video ukitumia kipengele cha kutafuta kwa kutamka.
Pata maelezo kuhusu kudhibiti rekodi zako za sauti ukitumia kipengele cha kutafuta kwa kutamka kwenye YouTube.
Anza kutafuta kwa kutamka
- Ingia katika akaunti kwenye YouTube.
- Gusa Tafuta .
- Gusa Maikrofoni .
- Itaanza kurekodi mara moja.
- Gusa maikrofoni inayoonyesha rangi nyekundu ili uache kurekodi.
- Gusa X ili urudi nyuma.