Desturi bora za kutayarisha maudhui yanayofaa watangazaji

Ikiwa umejiunga na Mpango wa Washirika wa YouTube na ungependa kuchuma mapato kupitia matangazo, hakikisha kuwa maudhui yako yanafuata mwongozo wetu wa maudhui yanayofaa watangazaji.

Tunazingatia vipengele vyote vya maudhui yako. Tukizungumzia maudhui, tunamaanisha:

  • Video, Video fupi au maudhui ya mtiririko mubashara
  • Jina
  • Kijipicha
  • Maelezo
  • Lebo

Ili kufaa kwa matangazo, maudhui yako yote lazima yafuate mwongozo wetu wa maudhui yanayofaa watangazaji.

Kuweka muktadha kwenye video zako

Muktadha ni muhimu. Ikiwa kuna thamani ya kielimu, hali halisi, kisayansi au kisanaa, inaweza kubadilisha ufaafu wa video kwa watangazaji.

Kuongeza muktadha pia hutusaidia kufanya uamuzi sahihi wa uchumaji wa mapato. Mifumo yetu si sahihi kila wakati. Ikiwa mifumo yetu itabainisha video yako kama isiyofaa kwa watangazaji wote, unaweza kuomba uhakiki unaofanywa na binadamu. Wahakiki wetu wanadamu watatathmini maudhui na muktadha wako ili kufanya uamuzi wa mwisho wa uchumaji wa mapato.

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wahakiki hutathmini maudhui wakitumia mwongozo wetu wa maudhui yanayofaa watangazaji.

Zima matangazo kwa maudhui yasiyofaa watangazaji

Ikiwa ungependa kupakia maudhui yasiyofuata mwongozo wetu wa maudhui yanayofaa watangazaji, unapaswa kuzima matangazo kwenye video mahususi. Chaguo hili linakuruhusu kujiondoa kwenye mpango wa uchumaji wa mapato katika video zozote ambazo hazifai watangazaji unapoendelea kuwa katika Mpango wa Washirika wa YouTube.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
9046362140560497604
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false