Majaribio ya vipengele kwenye Youtube.com/new

Watumiaji wa YouTube Premium wanaweza kujifunza na kujaribu vipengele vingi vya YouTube majaribio katika youtube.com/new.

Baadhi ya majaribio yanapatikana tu kwa muda mfupi, yanaweza kuwa na nafasi chache au kupatikana katika maeneo na vifaa vichache. Si vipengele vyote vya majaribio huishia kutumika. Unapojaribu kipengele kipya, toa maoni ya kina ili utusaidie kuboresha YouTube.

Jinsi ya kufanya majaribio mengi kwenye YouTube ukiwa mtumiaji wa Premium

Ili ushiriki:

  1. Gusa picha yako ya wasifu .
  2. Katika kona ya juu kulia, gusa Mipangilio  kisha Jaribu vipengele vya majaribio.
  3. Teua kipengele ulichochagua kisha utoe maoni.

Ili utume maoni:

  1. Gusa picha yako ya wasifu .
  2. Katika kona ya juu kulia, gusa Mipangilio  kisha Jaribu vipengele vya majaribio.
  3. Gusa Toa maoni kwenye kipengele ulichochagua.

Ili uondoke kwenye jaribio:

  1. Gusa picha yako ya wasifu .
  2. Katika kona ya juu kulia, gusa Mipangilio   kisha Jaribu vipengele vya majaribio.
  3. Gusa Zima.
Vidokezo:
  • Usipojiondoa mapema, kipengele kinachofanyiwa majaribio kitatoweka kiotomatiki tarehe ya mwisho iliyoratibiwa na hali yako ya utumiaji wa YouTube itarejea kawaida.
  • Unaweza tu kuzima majaribio yanayohitaji YouTube Premium ikiwa wewe ni mtumiaji wa Premium.

Ili ukague majaribio unayojaribu kwa sasa:

  1. Gusa picha yako ya wasifu .
  2. Katika kona ya juu kulia, gusa Mipangilio   kisha Jaribu vipengele vya majaribio.
  3. Vipengele ulivyowasha vitaonyesha Zima, ilhali unavyoweza kujijumuisha vitaonyesha Kijaribu.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
4715863695694789727
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false