Muda uliotazama video

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

Takwimu zinatokana na historia ya video ulizotazama kwenye bidhaa zote za YouTube (isipokuwa programu ya YouTube Music na YouTube TV). Kutokana na tatizo linalojulikana, muda uliotazama kwenye kompyuta huripotiwa kwa njia isiyo sahihi.

Muda uliotazama video unakuwezesha kuangalia muda wako wa wastani wa kutazama video kila siku. Unaonyesha pia muda ambao umetazama video za YouTube leo, jana na kwa siku 7 zilizopita.

Kumbuka: Wasifu wako hauonyeshi video ambazo umeondoa kwenye historia ya video ulizotazama au video ulizotazama kwenye dirisha la faragha. Historia ya video ulizotazama inapatikana tu unapoingia katika akaunti kwenye YouTube.

Ili uone muda uliotazama video:

  1. Ingia katika akaunti kwenye YouTube.
  2. Gusa picha ya wasifu wako .
  3. Gusa Muda uliotazama Dashboard icon .

Kwenye ukurasa wa Muda Uliotazama, unaweza pia kubadilisha mipangilio yako ya kikumbusho cha Pumzika kidogo na Kucheza kiotomatiki.

Takwimu za muda uliotazama hutokana na historia yako ya video ulizotazama.

Kumbuka: Wakati kipengele cha historia ya video ulizotazama kimesimamishwa, takwimu za muda uliotazama hazitapatikana.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
12437206391157663987
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false