Arifa: zima sauti na mitetemo

Unaweza kuzima sauti na mitetemo kuhakikisha kuwa arifa hutumwa bila sauti kwenye simu yako kwa kipindi cha wakati mahususi kila siku.

Kwa chaguomsingi, sauti na mitetemo yote huzimwa kati ya saa 4 usiku na saa 2 asubuhi, lakini unaweza kubadilisha hii jinsi upendavyo. Kipengele hiki kinapatikana katika matoleo ya 13.16 na zaidi ya programu ya YouTube kwenye simu za mkononi.

Kipengele hiki kinapatikana tu kwenye simu za mkononi, wala si kwenye vishikwambi.
Ili uweke mapendeleo ya mipangilio ya sauti za arifa na mitetemo:
  1. Gusa picha yako ya wasifu .
  2. Gusa Mipangilio .
  3. Gusa Arifa.
  4. Washa au uzime sauti na mitetemo .
  5. Gusa Zima sauti na mitetemo ili uweke wakati unaopendelea wa Kuanza na wakati wa Kumaliza.
Kumbuka: Utaendelea kupokea arifa zote za YouTube hata unapozima sauti na mitetemo. Arifa zote za upakiaji wa video hutumwa kimya kwa chaguomsingi.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
3783585929186111396
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false