Arifa: muhtasari ulioratibiwa

Muhtasari ulioratibiwa hujumuisha arifa zote za programu za kila siku ambazo ungepokea siku nzima kutoka kwenye programu ya YouTube na hukutumia arifa kwenye muhtasari mmoja tu kila siku badala yake. Unaweza kuweka muda mahususi wa kupokea muhtasari wako ulioratibiwa.

Kumbuka: Muhtasari ulioratibiwa hujumuisha arifa zote za programu zikiwemo arifa za mitiririko mubashara, za upakiaji na za maoni. Kwa kuwezesha kipengele hiki, huenda usione mtiririko mubashara hadi utakapokamilika.

Muhtasari ulioratibiwa “umezimwa” kwa chaguomsingi.

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

Ili uwashe na uweke mapendeleo kwenye muhtasari ulioratibiwa wa arifa zako: 

  1. Gusa picha yako ya wasifu 
  2. Gusa Mipangilio
  3. Gusa Arifa.
  4. Gusa Muhtasari ulioratibiwa.
  5. Gusa ili uweke mapendeleo ya muda unaopenda wa kuwasilisha.  

Pata maelezo zaidi kuhusu kudhibiti arifa zako hapa

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
17276952583715706375
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false